Posts

JE! NINI HUSABABISHA WANAWAKE VIUNO VYAO KUUMA??

Image
Maumivu ya kiuno kwa wanawake huwa yana sababu nyingi. Mengine yanahusiana na hali maalumu kwa wanawake, huku mengine yanaweza kujitokeza tu kwa mtu yeyote. Katika makala hii tutaangalia visababishi vya maumivu ya kiuno kwa wanawake, hivyo kila mmoja mwenye tatizo hili ataona umuhimu wa kwenda kupima na kuweza kupata matibabu. Je, Nini Husababisha Kiuno Kuuma? Baadhi ya visababishi vya maumivu ya kiuno kwa wanawake hutokana na hali maalumu, nazo zipo kama ifuatavyo; 1. Ugonjwa Wa Kabla Ya Hedhi(PMS) Hii huwa ni hali ambayo wanawake wengi huipata kabla ya vipindi vyao vya hedhi. Hali hii ina dalili nyingi, lakini hutaziona zote. Kwa kawaida dalili hizi huwa kama hivi; a) Dalili Za Mwili, kama vile; •Maumivu ya kiuno • Kichwa kugonga • Uchovu • Tumbo kuunguruma b) Dalili Za Kihisia Na Kitabia, kama vile; • Kubadilika badilika kwa hali ya moyo • Kutamani vyakula • Wasiwasi • Shida kuzingatia • Kujikita kwenye tatizo Ugonjwa wa kabla ya hedhi(Premenstrual Syndrome au PMS) huanza siku chach...

FAIDA ZA GANDA LA NAZI KIAFYA

Image
  FAHAMU FAIDA ZA GANDA LA NAZI(COCONUT HUSK) hutibu typhoid. husafisha Ini Husafisha figo Husafisha damu Huimarisha afya ya ngozi. Chukua ganda la Nazi.osha vizuri kwa nje.loweka kwenye maji kiasi kwamba lizame lote ndani ya maji.Acha kwa siku mbili.chuja maji Yake na utunze kwenye chombo safi. Matumizi. Mtu mzima anywe kikombe kimoja kubwa Mara mbili. Mtoto atumie vijiko 2 vya chakula kutwa Mara 2 kwa siku 14.

FAIDA 5 ZA KIAFYA KUTUMIA MCHAICHAI KAMA

Image
FAIDA YA KUTUMIA MCHAICHAI KAMA TIBA NA CHAKULA Faida za mchachai zipo nyingi sana wengi wetu hudhani mchaichai ni kuongo cha kuweka kwenye chai pekee,au ni dawa kwa ajili ya kuua mbu pekee,ila mchaichai huwa na faida lukuki zaidi ya hizo tu. Naomba uweze kusoma makala haya ili uone faida nyinginezo za mchaichai. faida za mchaichai kiafya. 1. Mchaichai ni kinga dhidi ya saratani. Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenye kila gram 100 ya mchaichai, kuna viondosha sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinda mwili dhidi ya ugonjwa wa saratani. Mwaka 2006, timu ya watafiti kutoka Chuo kikuu cha Gurion, Israel waligundua mchaichai una uwezo wa kuua seli zinaweza kusababisha saratani. 2. Hutibu magonjwa ya kuhara. Husaidia umeng’enyaji wa chakula Chai ya mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng’enyo wa chakula na pia hutibu magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo ikiwamo kujaa gesi. Hurahisisha utaratibu wa kuondoa uchafu mwilini Katika matibabu, unatibu magonjwa mengi ikiwemo kushusha joto, hasa kw...

ZIJUE FAIDA ZA 15 ZA MAJANI YA MRONGE

Image
  ZIJUE FAIDA ,TIBA NA VIRUTUBISHO MBALIMBALI VINAVYO PATIKANA KWENYE MTI WA MRONGE.. 1:inajumala ya virutubisho92    2:viondoa sumu46,   3:huondo mafuta mwilini  4:viondoa uvimbe36  . 5: huongeza CD4 cell(white blood cell)   6:ina kiasi Cha kutosha Cha madini ya zink ambayo hutumika kuongeza nguvu zakiume  7:mronge huupa Mwili nguvu kupata hamu ya kula  8:hutibu zaidi ya maradhi 300 ikiwepo presha,sukari ,vidonda vya tumbo,pumu ,nguvu zakiume,u.t.i sugu,kuhara, kusafisha mirija ya uzazi.   9: mronge una vitamin c ambayo Ni mara7 ya vitamini c inayopatikan katika machungwa ambayo husaidia Kinga ya Mwili dhidi ya magonjwa,husaidia katika utengenezaji na uimara wa mifupa,meno misuli na ngozi,husaidia kutoa kikohozi na mafua ya alegy   10: mronge una madini ya chuma ambayo Ni Mara 17 ya madin yachuma yanayopatikana katika maziwa ambayo husaidia kuzalisha homoni katika mwili wa binadam ambazo hufanya kazi mbali mbali...

KWANINI UTI INAWASUMBUA SANA WANAWAKE KULIKO WANAUME??

Image
  KWA NINI UTI INAWASUMBUA WANAWAKE ZAIDI KULIKO WANAUME? UTI (Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli.   Kwa kawaida bakteria hawa hupatikana katika utumbo mpana na kwenye njia ya haja kubwa na inapotokea wakahamia katika njia ya mkojo husababisha mtu kupata tatizo hili la maambukizi katika mfumo wa mkojo. Ugonjwa wa U.T.I unaweza athiri urethra, kibofu cha mkojo na figo. DALILI ZA UTI ➢ Kwenda haja ndogo mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa ➢ Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo ➢ Maumivu chini ya kitovu. ➢ Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu. ➢ Kuhisi homa kali na uchovu na kichefuchefu. ➢ Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo. ➢ Maumivu ya mgongo na kiuno.  ➢ Uchovu kupita kiasi wa mwili mzima.  ➢ Kupata hamu kubwa ya kwenda haja ndogo lakini inatoka kiduchu.  ➢ Haj...

FAHAMU FAIDA ZA KITUNGUU SWAUMU

Image
  Inasaidia kuyeyusha mafuta mwilini. 🧄 Inasaidia kusafisha njia ya mkojo  na inasaidia kupunguza kasi ya uweneaji wa maambukizi hasa magonjwa kama Fangas, PID, UTI na magonjwa ktk  mfumo wa chakula.  🧄 inasaidia kupunguza maumivu ya jongo \Gout 🧄 Inaongeza hamu ya kula  🧄 inasaidia kuzuia saratani 🧄 Inasaidia kuongeza kinga mwilini kwa kuongeza uzalishaji seli mpya idadi nyingi . 🧄Inazuia magonjwa kama typhoid, kuhara damu na msokoto wa tumboni na kipindupindu 🧄 Inasaidia kuondoa mabaka mabaka  kwenye ngozi 🧄kitungu swaumu inasaidia kupunguza athari za msongo wa mawazo na kutibu changamoto ya kukosa usingizi. Kitungu swaumu kinasaidia kuupa ubongo nguvu na afya yakufanya kazi vizuri 🧄 Inasaidia kuongeza nguvu za kiume, wababa hii nawakikishia kabisa. 🧄 Inasaidia kuongeza kasi ya mmeng'enyo wa chakula tumboni . 🧄 Inasaidia kupunguza maumivu ya kichwa 🧄 Inasaidia kupunguza madhara ya Kisukari (Dm) *MATUMIZI YA VITUNGU SWAUMU*  Tumia vitungu ...

ZUJUE SABABU ZA TUMBO KUJAA GESI

Image
Chakula kutokusagwa au mchafuko wa tumbo ni msemo wa kawaida ambao huelezea masumbufu ndani ya tumbo lako la juu. Chakula kutokusagwa sio ugonjwa, bali kuna baadhi ya dalili unaweza kuzipata, ikiwa pamoja na maumivu ya tumbo na kujisikia tumbo kujaa gesi muda mfupi tu unapoanza kula. Ingawa hali ya tumbo kujaa gesi huwa ni ya kawaida, lakini kila mtu anaweza kupatwa na hali ya kukosa choo katika njia tofauti. Dalili za tumbo kujaa gesi unaweza kuzihisi mara kwa mara au kila siku. Je, Dalili Zake Zinakuwaje? Watu wenye tatizo la tumbo kujaa gesi kwa karne hii ni wengi sana, na dalili zake huwa kama hivi ifuatavyo; • Tumbo kujaa haraka tu wakati unapokula hata kama ni chakula kidogo • Kutokujisikia vizuri baada ya kumaliza kula • Kuhisi masumbufu kwenye tumbo la chakula • Kuhisi kama hali ya kuwaka moto maeneo ya tumbo la juu • Tumbo kuunguruma • Kuhisi kichefuchefu NUKUU: Wakati mwingine watu wenye tatizo hili pia huhisi kiungulia, lakini kiungulia na tumbo kujaa gesi ni hali mbili zina...

UJUE UGONJWA WA FIGO(KIDNEY FAILURE)

Image
  Figo ni moja ya kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu na hufanya kazi za kudhibiti na kuhifadhi virutubishi na maji na kuondoa mabaki kupitia mkojo* *Pia figo husaidia sana kuchuja damu ili kuondoa mabaki ambayo ni sumu mwilini. Baadhi ya mabaki hayo ni urea, uric acid, creatinine na ammonia* *Sababu zinazoweza kufanya figo zishindwe kufanya kazi* *Sababu za muda mfupi*; *1️⃣Matumizi ya baadhi ya dawa za kupunguza maumivu* *2️⃣Upungufu mkubwa wa ujazo wa damu (kupoteza damu kwa kiasi kikubwa)* *3️⃣Upungufu wa maji mwilini kutokana na kutapika, kuhara, na homa* *4️⃣Maambukizi kwenye figo mfano sepsis* *5️⃣Uvimbe mkubwa wa tezi dume (prostatic hypertrophy)* *Sababu za Muda Mrefu* *1️⃣Maambukizi katika njia ya mkojo ya mda mrefu(UTI SUGU)* *2️⃣Kisukari kisichodhibitiwa* *3️⃣Shinikizo kubwa la damu lisilodhibitiwa* *4️⃣Uvimbe-uchungu wa kudumu kwenye mfumo wa uchujaji wa figo(chronic glomerulonephritis)* *5️⃣Mawe kwenye figo* 6️⃣Magonjwa ya tezi dDAMU (Prostate disease) *CHANGA...

UMUHIMU WA TUNDA LA NANASI KATIKA TIBA

Image
 UMUHIMU WA TUNDA LA NANASI KATIKA TIBA Nanasi lina vitamin A,B,na C pia lina madini chuma na phosphorus. Tunda hili husaidia kutengeneza damu na kuimarisha mifupa,meno, na misuli (muscles)  MATIBABU KWA KUTUMIA NANASI  Hutibu MATATIZO mbali mbali ya tumbo. Bandama,figo,INI na utumbo mwembamba, vidonda pembezoni mwa mdomo na kooni. . Pia husaidia magonjwa ya kupoteza kumbu kumbu (kusahau). Huondoa MATATIZO ya kufunga choo. Pia huwasaidia akina mama wanyonyeshao wenye maziwa machache NA hata wale wenye mimba wanashauriwa sana kutumia mananasi kwa wingi angalau kwa siku  ,japo mawili mazima NANASI LINA faida nyingi lakini nimegusia kidogo tu Allah akituwezesha siku nyingine nitawaelezea zaidi inshaallah Karibuni sana tujifunze Linda afya yako kwa kutumia TIBA asili madawa ya asili hayana kemikali zozote pia hayana madhala unaweza kutumia hata kama hau umwi, KINGA NI BORA KULIKO TIBA

MADHARA YA KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA

Image
 MADHARA YA KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA NA ONGEZEKO LA VIFO VINAVYOTOKANA NA CHANGAMOTO HIZO.  Zamani ilikuwa ukiwa na kitambi au mnene unaonekana tajiri wa pesa,  lakini siku hizi ukiwa na kitambi unaonekana kuwa tajiri wa Magonjwa anayeiandaa safari ya kwenda kujenga urafiki na hospitali kubwa kubwa kwa kutumia gharama kubwa mno ambazo zitamtia umaskini wa kudumu. Matatizo ya Cholesterol, presha BP,  kisukari,  vidonda vya tumbo, ini, figo, kansa, matatizo ya uzazi,  upungufu nguvu za Kiume na stroke hapo kwenye watu wenye uzito mkubwa na vitambi ni mahali pake. Magonjwa mengi yanayoshambulia waafrika yanatokana na lifestyle mbaya ya ulaji wa vyakula tunavyotumia. wengi wanafikiri kufanya mazoezi na kushinda njaa kutawafanya wapungue kumbe sio kweli. Hauwezi kupungua kama haujaziondoa kemikalli mwilini ambazo  zinaulazimisha mwili wako kuhifadhi mafuta. Wanawake wengi nao sku  hizi wanavitambi ambavyo vinaleta shepu mbaya na kupoteza mvuto wot...

JINI MAHABA

Image
 BAADHI YA DALILI ZA JINI MAHABA..1 1.Kuwa na dalili zote za mimba,lakini ukipima hakuna mimba 2.Kitu kucheza tumboni kama mtoto.. 3.kuchukiwa  watu bila sababu yoyote,na kila ufanyalo wanaona ni baya tu.. 4.Kujiona Bora Sana kuliko mtu yeyote 5.Kupenda kujitenga na watu 6.kuwa na hofu kupita kiasi.. 7.Kutokewa na jini live kupitia umbo la Binadamu na kufanya nae sex(Unakuta huyo jamaa huwa mchovu Sana kwenye sex lakini akiingiwa na jini anakupiga bao tamu Kama la kwenye ndoto mpaka unajiskia Raha isiyo na mfano/Au unapiga bao tamu.... 8.Ahadi za ndoa kutotimia..wewe ni wa Kuabudiwa,nitakuoa/tutaonana 9.Kukataa kila mwanaume/Mwanamke anayetaka/kuonesha Nia ya kukuoa/kumuoa 9.Kujiona mdogo hujafikia umri wa kuolewa/kuoa wakati unamiaka 150 10.Kutamani kuolewa /Kuoa baada ya Muda wa kuoa/Kuolewa kupita. 11.Ukilazimisha kuoa/Kuolewa ndoa inakuwa ngumu, ridhiki ngumu 12.Kukimbiwa na wachumba.. 13.Mipango ya Ndoa kutofanikiwa kabisa. 14.Ugomvii ,migogoro na mme..Cha ajabu akiwa mba...

FAIDA 15 ZA LIMAU KIAFYA

Image
  FAIDA 15 ZA LIMAU KIAFYA Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi, kutibu malengelenge, uzito kupita kiasi, matatizo katika mfumo wa upumuwaji, kipindupindu na shinikizo la juu la damu. Pia ni dawa nzuri kwa ajili ya nywele na ngozi. Tangu karne nyingi limau linajulikana kama dawa, husaidia pia kuongeza kinga ya mwili, kusafisha tumbo na hujulikana pia kwa kazi yake nzuri ya kusafisha damu. Juisi ya limau ina faida kadhaa nyingi kama vile kuondoa mchanga katika figo, kupunguza kukamaa kwa mishipa (strokes) na kupunguza joto la mwili. Kama kinywaji ambacho huondoa uchovu mwilini, juisi ya limau itakusaidia kubaki mtulivu na mpole. Faida nyingi za limau zinatokana na virutubishi vyake vingi mhimu kwa mwili kama vile vitamini C, vitamini B6, vitamini A, vitamini E, folate, niacin thiamin, riboflavin, pantothenic acid, shaba, kalsiamu...

TATIZO LA MIGUU KUVIMBA NA KUWAKA MOTO

Image
  Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto Na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono.  Tatizo hilo kitaalamu hujulikana kama Peripheral Neuropathy.  Matatizo haya kiafya miguu au mikono kuhisi ganzi,baridi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguu au mikono) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguu au mikono.  Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo:-  01. Mtu kuhisi ganzi  02. Kushindwa kushuka au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli, n.k  03. Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguu/mikono.  Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi ni vizuri nazo ukajua.  1. Kupungua kwa virutubisho miwilini, hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex)  2. Matumiz ya dawa, mfano dawa za kutibu k...

TATIZO LA MIGUU AU MIKONO KUUMA/KUFA GANZI

Image
Matatizo ya miguu/mikono kuhisi ganzi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa Neva za pembezoni mwa mwili (peripheral neuropathy), hivyo kusababisha kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika eneo husika (miguuni au mikononi). DALILI ZA TATIZO >>Mtu kuhisi miguu/mikono kufa ganzi >>Maumivu au kuhisi kama vile moto unawaka miguuni au mikononi >>Kuhisi kama vile umevaa soksi au gloves wakati hujavaa >>Kuhisi kama vile kuna kitu chenye ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole HIZI NDIZO SABABU ZA KUDHOOFIKA KWA NEVA HIZO >>Kupungua kwa virutubisho mwilini. Hapa tunamaanisha mwili kutokuwa na Vitamin za kutosha hasa mkusanyiko wa Vitamini B Complex >>Matumizi ya dawa fulani kwa muda mrefu mfano TB na ARV >>Uzito mkubwa wa mwili. Hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo huonekana tofauti na ilivyo kawaida. Kubadilika huku husababisha baadhi ya Neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na mis...

SIMAMISHA MATITI YALIYOLALA KWA NJIA YA ASILI

Image
 🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢 SIMAMISHA MATITI YALIYOLALA KWA NJIA YA ASILI maziwa Wadada na Wanamama wengi wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu kutafuta ufumbuzi wa kusimamisha matiti yaliyolala pasipokujua kwamba zipo njia salama za asili za kutatua changamoto hiyo. Kwa uchunguzi mdogo uliofanywa na dr.khalifa nimegundua kwamba idadi kubwa ya Wanawake hupata changamoto ya matiti kulala baada ya kujifungua na kupitia hatua ya kunyonyesha. Pia zipo sababu nyingine mbali na hiyo tuliyotaja ambayo huweza kupelekea Matiti ya Mwanamke kulala. Dr  ♩nimeweza  kutuelezea sababu kuu zinazopelekea matiti ya mwanamke kulala na njia za kusimamisha matiti. SABABU ZA MATITI KULALA Afya kuwa mbovu Kuzaa au kupata Mimba Kurithi NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI Kwa kutumia yai, Vitamin E na Mtindi MAHITAJI Yai bichi moja au mawili Mtindi robo lita Vitamin E : Mafuta ya Alizeti robo lita MAANDALIZI Chukua ute wa yai moja bichi kisha changanya na robo lita ya mafuta ya alizeti, Koroga vizuri huo m...

TIBA YA KIFAFA KWA KUTUMIA MLONGE

Image
 KIFAFA CHA KAWAIDA. Kuna aina nyingi sana za kifafa..lakini zinazotambulika ni 3 achanana kifafa cha mimba bana... 1.Kifafa cha kawaida kilicho sababishwa na kukomaa kwa degedege...hiki ndio nitatoa dawa yake. 2.Kifafa kinachosababishwa na jini 3.Kifafa kinachosababishwa na uchawi/Wachawi. Kifafa namba 2 na 3 unazunguka kwa waganga bila kupona,unazunguka na dawa bila kupona...cha ajabu sasa,dawa yake ni rahisi sana ila ghalama kidogo tu... Kifafa cha kawaida. Chukua magome ya mti wa mlonge Saga kupata unga wake Tumia kijiko 1kikubwa  kwa mkubwa Kijko 1kodogo kwa mtoto kwenye uji kikombe 1 kutwa mara 3 siku 7. Mlonge huo pichani.. Kifafa ni ugonjwa unaomwangusha mtu na kimtoa povu.. Kifafa hakichagui mahali pa kumwangusha mtu,popote na muda wowote.. Ni ugonjwa unaotesa sana Ni ugonjwa unamfanya mgonjwa aijihisi mnyonge Ni ungonjwa unaomfanya mgonjwa ajihis aibu. Hajiamini kabisa... Mungu yupo.. Ewe mchawi,unapata faida gani kumloga mwenzako?  Tubadilike..

JINSI YA KUONDOA CHUNUSI USONI

Image
 🍅UREMBO ASILI🍅 SEHEMU YA KWANZA,  🍎JINSI YA KUTOA CHUNUSI SUGU USONI NA MIKUNJO YA NGOZI. MAKOVU NA  KUONDOA TATIZO LA NGOZI KUWA KAVU VILEVILE MCHANGANYIKO HUU UNAFAA KWA WALE WENYE MAFUTA USONI🍅 KARIBU NIKUJUZE HUSIYOYAJUA NA KAMA UNAYAJUA BASI NAKUONGEZA UJUZI.. KAMA UNAVYOONA KWENYE PICHA HAPO👇🏻 KUNA LIMAU 🍋 KUNA YAI 🥚 NA ASALI MBICHI YA NYUKI🐝 BILA SHAKA VITU VYOTE IVI VINAPATIKANA KWA URAHISI SANA VILE VILE  HAVICHUKUI MUDA MREFU SAANA 👇🏻 KUVIANDAA👇🏻 TUPATE CHOMBO KISAFI YAWEZA KUWA BAKURI AU KIFAA CHOCHOTE CHUKUA YAI LA KUKU KAMA UTAPATA YAI LA KIENYEJI ITAPENDEZA ZAIDI  LIVUNJE KATI TUNACHOHITAJI.KWENYE YAI NI ULE UTE MWEUPE KAMA MAJI SIO KIINI CHA NJANO👇🏻   BAADA YA HAPO CHUKUA LIMAO KAMLIA MAJI YA LIMAO  KIDOGO SAANA KWA SABABU LIMAO NI NZURI KWA NGOZI LAKINI UKIWEKA NYINGI ITAKUWASHA USONI WEKA KIDOGO TU👇🏻 Chukua na asali kijiko kimoja weka kwenye mchanganyiko wako wa yai na lamao  baada kuweka asali tumia kijiko kucha...

DAWA YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO HATA KAMA VIDONDA NI SUGU

Image
  MAHITAJI HABATI SODA YA UNGA VIJIKO 4 KOMA MANGA YA UNGA VIJIKO 4 MDALASINI WA INDIA WA UNGA VIJIKO 4 ASALI MBICHI NUSU LITA CHUKUA DAWA HIZO ZOTE  ZICHANGANYE SEHEMU MOJA BAADA YA KUZICHANGANYA SEHEMU MOJA CHANGANYA NA ASALI MBICHI NUSU LITA  HAKIKISHA UMECHANGANYA VIZURI DAWA YAKO  BAADA YA HAPO ANZA MATUMIZI YA DAWA KUNYWA VIJIKO 2 X 2 KWA SIKU  KWA MAANA HIYO UNAKUNYWA HASUBUI VIJIKO VIWILI NA JIONI VIJIKO VIWILI KWA MUDA WA SIKU 10 Dawa hii ndo mwisho wa tatizo la vidonda vya tumbo  KWA IDHINI YA ALLAH UTAPONA BAADA YA KUPONA MSHUKURU ALLAH S.W SIO DR.ABDALLAH MIMI NIMEKUFUNDISHA HASIBAB TU TABIBU NI ALLAH.

TIBA YA KUKOJOA KITANDANI KWA MTU MZIMA NA WATOTO

Image
 JE,TATIZO LA MTU MZIMA KUKOJOA KITANDANI(ADULTS NOCTURNAL ENURESIS) NI NINI? Hili ni tatizo linaowasumbua watu wengi walio katika umri ambao tayari wana uwezo wa kuzuia mkojo,tatizo hili hutokea kwa mtu huyo ambaye tayari yupo katika umri wa kuweza kujizuia mkojo ila anakua bado anaendelea kukojoa kitandani au kwenye nguo. Hivyo tunaweza kusema hili ni  tatizo la kushindwa kuzuia mkojo wakati wa mchana au usiku na linalotokea katika umri wa miaka mitano au zaidi. Mkojo unapo hifadhiwa katika kibofu cha mkojo, kibofu kinatanuka kama puto. Katika sehemu za neva za kutanua kuta za kibofu cha mkojo zinapeleka ishara ya kuzuia mkojo katika akili. Hii hutokea katika sehemu ya ubongo inayohusika na matendo yasiyo ya hiari. Kama ubongo wa mtoto haujapata ishara hii, au ukishindwa kujua maana ya hiyo ishara, hatua ya makusudi ya kuzuia mkojo haitafanyika hivyo mtu hushindwa kupata uwezo wa kuxuik mkojo. Hali hii mara nyingi husababishwa na kuchelewa kwa ukuaji wa kibiologia wa utendaj...

FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE

Image
  FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE _huondoa vipele kwenye ngozi. _hutibu homa za mara KWA mara. _huondoa malaria sugu. _huondoa vitambi kwa akina mama. Na akina baba. _hupunguza mtu kuwa na hasira. _hulainisha ngozi. _kukuza nywele na kuzifanya ziwe nyeusi. _huondoa uchovu. _hutibu fangasi. _huondoa mabaka na michubuko. _huondoa ukurutu. _huondoa harufu mbaya sehemu za siri. _hutibu tatizo la mchafuko wa damu (allergy).. _huongeza CD4 mwilini. Ambazo zikipungua ni rahisi sana kupata virusi vya VVU  kwaiyo ni vizuri mtu akanywa mafuta ya MLONGE au kutafuna mbegu  zake. _kutibu kisukari. _hutibu kuhara damu. _huondoa uvimbe tumboni  _huongeza kasi ya utokaji mkojo kwa wale wenye matatizo ya mkojo  unaotoka kidogo kidogo. _ _hutibu presha ya kupanda na kushuka. _hutibu pumu. _hutibu maradhi yote ya MOYO. _ huondoa tatizo la ugumba.(kutoshika mimba) _huondoa uvimbe kwenye mfuko wa uzazi. _huongeza nguvu kiume na kike. _huondoa mawe kwenye kibofu cha mkojo. _hutibu fangasi ...

adthis