FAIDA ZA GANDA LA NAZI KIAFYA
FAHAMU FAIDA ZA GANDA LA NAZI(COCONUT HUSK)
hutibu typhoid.
husafisha Ini
Husafisha figo
Husafisha damu
Huimarisha afya ya ngozi.
Chukua ganda la Nazi.osha vizuri kwa nje.loweka kwenye maji kiasi kwamba lizame lote ndani ya maji.Acha kwa siku mbili.chuja maji Yake na utunze kwenye chombo safi.
Matumizi.
Mtu mzima anywe kikombe kimoja kubwa Mara mbili.
Mtoto atumie vijiko 2 vya chakula kutwa Mara 2 kwa siku 14.
Comments
Post a Comment