FAHAMU TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU

TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU

karafuu ni miongoni mwa kiungo cha chakula na dawa mbali mbali karafuu inajulikana ulimwenguni kwa tiba  magonjwa mbali mbali.

Magonjwa hayo ni kutoa gesi tumboni, tatizo la mmeng'enyo.kutapika, na matatizo katika meno.

JITIBU KWA KUTUMIA KARAFUU

Matatizo katika misuri
#ganzi ya mikono na miguu.
#kiharusi
#maumivu ya viungo.
#uvimbe.

Tumia mafuta ya karafuu kwa kuchulia sehemu yenye matatizo.
.
1.KUHARISHA

Chukua karafuu weka kwenye maji chemsha kunywa kuharisha kutaisha

2.KICHEFUCHEFU

tafuna punje za karafuu  tatu kichefuchefu kitaisha.

3.MATATIZO YA MENO

Sukutua maji ya uvugu  vugu yalichemshwa na karafuu.

4.MAUMIVU YA KICHWA.(kipanda USO)

Chukua mafuta ya karafuu changanya na chumvi ya mawe kidogo kisha pakaa kichwan sehemu inayouma. Maumivu yata kata.

5.JINO LILILOTOBOKA:

   chukua pamba weka ktk mafuta ya karafuu kisha weka kwenye jino lililotoboka ukiweka iyo pamba sikilizia kama dakika 30 ndo uitoe Fanya ivyo kwa wiki mala 3 utaona matokeo mazuri inshaallah

6.GESI_TUMBONI

 kunywa maji yaliyochemshwa na karafuu na binzari Nene (,shomari,) kikombe 1x,2 kwa siku kwa muda wa siku  3

Karafuu inatibu magonjwa mengi sana kwa uwezo wa Allah


Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI