FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

TIBA KWA KUTUMIA NAZI

NAZI
NI kiungo cha vyakula mbali mbali . pia madafu ni kiburufisho kwa ajiri ya kukata kiu na kushiba kwa kula nyama ya ndani .

Nazi ina faida nyingi sana katika jamii watu watumia Nazi kupikia wali. Mboga. Nk..

Nazi na madafu ni tiba ya magonjwa mbali mbali Kama Yafuatayo.

1.KUHARISHA __kunywa maji ya madafu yaliyo kamliwa  ndimu kuharisha kutaisha.

2.NAZI MBATA AU NAZI YA KAWAIDA INAONGEZA MBEGU ZA UZAZI (SPAM)

goli la kishindo.
Ukila vipande vitatu vya Nazi nusu SAA kabla ya tendo la jimai (tendo la ndoa) hakika utakua na nguvu nyingi na utarudia round 4 had 5 bi.maana hauchoki halaka

3.MAWE_KATIKA_FIGO

chukua maua ya mnazi yakaushe juani kisha yasage upate unga kisha weka kijiko 1 kwenye maziwa mtindi glas moja kunywa kutwa x2 kwa muda wa siku 5 tatizo ilo litaisha.

4.MAUMIVU YA KICHWA

kunywa maji ya madafu mawili utapona kichwa.

5.KUTIBU VIDONDA

chukua mafuta ya Nazi pakaa kwenye kidonda kitapona. Kwa muda mchache sana.

6.KUTAPIKA

kunywa maji ya madafu yaliweka ndimu 3 kutapika kutaisha..

7.VIDONDA MDOMONI

chukua tui la Nazi sukutua hasubui na jioni kwa muda wa siku tano utapona vidonda vya mdomoni.

8.KUKATIKA_KWA_NYWELE_NA_KUKUZA_NYWELE

Paka tui la Nazi katika NYWELE kaa dakika 10 osha NYWELE zako kisha pakaa mafuta ya Nazi. Fanya hivyo KWA muda wa siku 20 utapata majibu.

9.KUONDOA chunusi usoni

chukua mafuta ya Nazi ml 100 changanya na mafuta ya ndimu ml.50 matumizi paka usoni tumia KWA muda wa siku kumi utapata majibu hakika utakua na sura nzuri yenye kupendeza.  Ukiyatumia  mafuta haya utayafanya yawe mafuta yako ya kupakaa kila siku.      Mafuta haya ni mazuri sana.

Mafuta ya nazi ni mazuri sana kwa mtoto mchanga ukiwa unampakaa baada ya kumuogesha maji  ukiwa na mtoto mchanga basi ukitaka mwanao ngozi yake hisihalibike  basi uwe unampakaa mafuta ya asili ya nazi.

#MAFUTA  YA NAZI INAKUBIDI UPATE YALE YALIYOTENGENEZEWA NYUMBANI NDO MAZURI SIO YALE YA VIWANDANI AU NENDA KWENYE MADUKA YA DAWA ZA ASILI UTAPATA MAFUTA HAYO.

10.Mafuta haya ya Nazi yatakusaidia kuweka uso wako kuwa soft na wenye kupendeza.

Post nyingine bora kwa ajili yako

Magonjwa hatari na afya

Hadithi tamu na za kusisimua

Mkala maalumu za dini

Jifunze kutoa huduma ya kwanza

Makala za sayansi na teknolojia

Masomo ya Shule na mitihani

Chemsahabongo

Faida za mboga na Matunda

Comments

Post a Comment

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI