Posts

Showing posts with the label afya

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

Image
TIBA KWA KUTUMIA NAZI NAZI  NI kiungo cha vyakula mbali mbali . pia madafu ni kiburufisho kwa ajiri ya kukata kiu na kushiba kwa kula nyama ya ndani . Nazi ina faida nyingi sana katika jamii watu watumia Nazi kupikia wali. Mboga. Nk.. Nazi na madafu ni tiba ya magonjwa mbali mbali Kama Yafuatayo. 1.KUHARISHA __kunywa maji ya madafu yaliyo kamliwa  ndimu kuharisha kutaisha. 2.NAZI MBATA AU NAZI YA KAWAIDA INAONGEZA MBEGU ZA UZAZI (SPAM) goli la kishindo. Ukila vipande vitatu vya Nazi nusu SAA kabla ya tendo la jimai (tendo la ndoa) hakika utakua na nguvu nyingi na utarudia round 4 had 5 bi.maana hauchoki halaka 3.MAWE_KATIKA_FIGO      chukua maua ya mnazi yakaushe juani kisha yasage upate unga kisha weka kijiko 1 kwenye maziwa mtindi glas moja kunywa kutwa x2 kwa muda wa siku 5 tatizo ilo litaisha. 4.MAUMIVU YA KICHWA  kunywa maji ya madafu mawili utapona kichwa. 5.KUTIBU VIDONDA chukua mafuta ya Nazi pakaa kwenye kidonda kitapo...

FAHAMU FAIDA SITA ZA UKWAJU KAMA TIBA YA MWILI.

Image
FAHAMU FAIDA SITA ZA UKWAJU KAMA TIBA YA MWILI. Ukwaju ni tiba ya magonjwa mbalimbali, leo tujaribu kuona faida zake Majani ya ukwaju yanatibu fangasi, kusafisha kibofu cha mkojo na kutibu maumivu ya viungo.

ZIFAHAMU FAIDA ZA NJEGERE KIAFYA

Image
ZIFAHAMU FAIDA ZA NJEGERE(GREEN PEAS) KIAFYA Njegere ni moja ya mmea mithili ya maharage ambayo hutumika kama mboga hasa ikiwa mbichi, rangi yake ni kijani. FAIDA ZAKE 1. HUZUIA MWILI USISHAMBULIWE NA MAGONJWA SUGU. Njegere huwa na virutubisho na nyuzi (fibres). Hivyo magonjwa kama kansa, magonjwa ya moyo na kisukari hukosa upenyo wa kushambulia mwili

Dondoo Za Afya

FAIDA ZA TANGO 1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoha kolesteroli mwilini. 2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B. 3. Kusaidia kutunza ngozi. 4. Kuongeza maji mwilini. 5. Kukata hangover. 6. Kuimarisha mmeng'enyo wa chakula mwilini. 7. Kuzuia saratani mwilini. 8. Kusaidia kupungua uzito. 9. Kuondoa maumivu na kuboresha viungo vya mwili. 10. Kuondoa harufu mbaya ya kinywa. FAIDA ZA PAPAI 1. Kuua na kuondoa mazalia ya minyoo mwilini. 2. Kusaidia kutibu vidonda vya tumbo. 3. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula. 4. Majani yake huleta ahueni kwa wagonjwa wa saratani. 5. Kupunguza uvimbe (anti-inflammatory). 6. Kuboresha misuli na neva mwilini. 7. Kusaidia kumeng’enya protini. 8. Kuboresha kinga ya mwili. 9. Kuboresha macho. 10. Kuboresha mfumo wa hewa FAIDA ZA UBUYU 1. Kuzuia uhalibifu na mikunjo ya ngozi. 2. Kusaidia katika kupunguza uzito wa mwili. 3. Kuimarisha moyo. 4. Kusafisha ini na kuondoa sumu. 5. Kiwango kikubwa cha vitamin C. 6. Chanzo cha m...

FAIDA SABA (7) ZA MDALASINI (CINNAMON)

Image
Mdalasini ni aina ya mmea ambao hutumika kama kiungo kwenye chakula kwani hutia radha madhubuti kutokana na harifu yake nzuri ya kuvutia. Faida zake 1.KUPUNGUZA KOLESTEROLI MBAYA MWILINI. Kolesteroli/lehemu (cholesterol) ni aina ya mafuta/fati (fat) ambayo hupatikana kwenye chembe za damu.kolestroli huwa ni kama nta ambayo wakati mwingine hujishikiza kwenye kuta za mishipa ya damu. Hii ni kwa sababu ya vyakula vyenye mafuta(lipid foods) kama nyama n.k. Hivyo mdalasini hupambana na cholesterol/lehemu aina ya lipoprotini ya chini LDL(Low Density Lipoprotein) ambayo husabaisha shinikizo la damu (hypertension). 2. MDALASINI HUWA NA VIRUTUBISHO MUHIMU KWA MWILI.  Virutubisho hivyo huwa kazi kama kuboresha mifupa na meno kuwa imara zaidi yaani meno huwa na kinga dhidi ya kuoza 3.KUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO. Kwa matumizi mfululizo ya mdalasini husaidia kupunguza uzito usiostahili 4. MDALASINI HUWA NA KAZI YA KUBORESHA KIWANGO CHA SUKARI KWENYE DAMU. Kumbuka kiwango cha suk...

πŸ’žπŸ’ž MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA πŸ’žπŸ’ž

Image
Maumivu wakati wa tendo la ndoa (DYSPAREUNIA) si tu huharibu mudi bali hupelekea kumfanya humusika kuchukia/kuogopa tendo lenyewe, kukosa hamu ya tendo lenyewe na kukosa mashirikiano. Maumivu wakati wa tendo au baada ya tendo ni tatizo kubwa linalowasumbuwa baadhi ya wanawake na wanaume ila ukiona ufanyapo tendo La ndoa na kuhisi maumivu basi juwa mwili wako unakupa ishara ya kwamba kuna kitu hakipo sawa na nivizuri kujichunguza ili kujuwa tatizo. πŸ’—πŸ’–Zifuatazo ni hali zinazopelekea kusababisha  na namna ya kulitatuwa hilo tatizo πŸ’•Kutofanyika maandalizi ya kutosha.   Mwanamke kupata hamu huchukuwa muda sana kuliko mwanaume hivo kunatakiwa kuwepo muda wa kutosha ktk suala zima la kutomesana(oral sex), Sio dakika 5 ukishaona majimaji kidogo na kuanza tendo La ndoa hali hii hupelekea kutokea maumivu na kumfanya mtu kuchukia tendo. Unapomuandaa mwenzio vizuri hupelekea damu kutembea vizuri ktk genitals na kufanya kuongezeka majimaji ktk uke (lubrication) yatakayopele...

KITUNGUU SWAUMU NA NA FAIDA ZAKE MWILINI

Image
KITUNGUU SWAUMU NA NA FAIDA ZAKE MWILINI +255 716 737 730 Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30 Haya ni baadhi ya magonjwa yaliyothibitika kutibika na yanatibika au kukingika na kitunguu swaumu: 1. Huondoa sumu mwilini 2. Husafisha tumbo 3. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro) 4. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I 5. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine 6. Huzuia kuhara damu (Dysentery) 7. Huondoa Gesi tumboni 8. Hutibu msokoto wa tumbo 9. Hutibu Typhoid 10. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi 11. Hutibu mafua na malaria 12. Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB) 13. Hutibu kipindupindu 14. Hutibu upele 15. Huvunjavunja mawe katika figo 16. Hutibu mba kichwani 17. Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri niliyopenda zaidi katika kitunguu swaumu. 18. Huzuia meno kung'ooka na kutuliza maumivu 19. Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kush...

FAIDA 14 ZA MAEMBE KIAFYA.

Image
FAIDA ZA MAEMBE KIAFYA.  Maembe ni matamu sana kiradha na hupendwa na watu katika hali toauti. Mtu anaweza akawa mgonjwa lakini hamu yake ikawa ni maembe kwan wakat mwingine huwa yanarudisha hamu ya kula pale ujisikiapo mgonjwa na kukosa hamu ya chakula.  FAIDA ZA KIAFYA ZA MAEMBE NI HIZI.  1. Husaidia sana katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.  Huongeza nguvu katika usagaji wa chakula tumboni.  2. Huzuia na kupambana na saatani/ kansa.  Hii ni kwa sababu maembe huwa na viua sumu kama quercetin, fisetin, astragalin, gallic acid, methyl gallate na isoquercitrin ambazo hupambana sana na kansa ya matiti, colon cancer na prostate cancer/kansa ya kibofu.  3 Husawazisha kiwango cha cholesterol/lehemu kuwa katika mstari usio na hatar ya kupata kisukari.  Kumbuka hii pia ni kaz ya majani ya maembe. Uwepo wa vitamin C, fibres/kamba au nyuz lishe na madini kama chuma/iron. Chuma majani sita hadi tisa, chemsha kunywa asubuhi kabla ya ku...

adthis