ZIFAHAMU FAIDA ZA NJEGERE KIAFYA

ZIFAHAMU FAIDA ZA NJEGERE(GREEN PEAS) KIAFYA

Njegere ni moja ya mmea mithili ya maharage ambayo hutumika kama mboga hasa ikiwa mbichi, rangi yake ni kijani.

FAIDA ZAKE

1. HUZUIA MWILI USISHAMBULIWE NA MAGONJWA SUGU. Njegere huwa na virutubisho na nyuzi (fibres). Hivyo magonjwa kama kansa, magonjwa ya moyo na kisukari hukosa upenyo wa kushambulia mwili



2.NJEGERE HUSAIDIA MWILI KUWA NA KIWANGO MAALUMU CHA SUKARI KWENYE DAMU. Njegere huwa na kiasi kidogo glycemic index ( GI) ambayo huwa kama kipimo cha sukari ulapo chalula na hii huweka sawa kiwango kizur cha sukari kweny damu

3.HUWEKA SAWA MMENG'ENYO WA CHAKULA. Hii ni kwa sababu ya kuwa na nyuzinyuzi (fibre) ambazo hufanya kazi nying mwilin.

4. NJEGERE HUWA NA VITAMIN NYINGI Vitamin kama A, K na C ambazo husaidia katika mambo kama macho(vitamin A), damu kutotoka kwa wingi au kuganda haraka uumiapo(vitamin K)

5. NJEGERE INA VIRUTUBISHO AINA YA PROTINI (PROTEIN) KWA KIWANGO CHA JUU. Pale ulapo kikombe kidogo cha njegere, utapata protini gram 4 ambapo mboga zingine haziwezi kufikia ujazo huo kwani huishia 1g na 2g. Hivyo njegere ni zaidi ya Nyama

6. HUUPA NISHATI MWILI NA KUZUIA UCHOVU. Njeger huwa na ujazo mkubwa wa kabohaidreti (carbohydrates) yaani gramu 11, na kalori(calories) 62gram

7. PIA NJEGERE HUWA NA MADINI MENGI. Madini mwilini hufanya kazi nyingi mwilini kama kuongeza kinga, kufanya mifupa na ngozi kuwa imara. Madini kama fosforas(phosphorus) 6%, chum(iron) 7% na manganizi(manganese)11%

......Pia Kwa Wagonjwa wa Seli mundu (Sikocell)  tunazo Dawa znazotibu na kuondoa ttz hilo

Posti nyingine bora kwa ajili yako


  1. Magonjwa hatari na afya

  2. Hadithi tamu na za kusisimua

  3. Mkala maalumu za dini

  4. Jifunze kutoa huduma ya kwanza

  5. Makala za sayansi na teknolojia

  6. Masomo ya Shule na mitihani

  7. Chemsahabongo

  8. Faida za mboga na Matunda

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI