KITUNGUU SWAUMU NA NA FAIDA ZAKE MWILINI

KITUNGUU SWAUMU NA NA FAIDA ZAKE MWILINI


+255 716 737 730

Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30
Haya ni baadhi ya magonjwa yaliyothibitika kutibika na
yanatibika au kukingika na kitunguu swaumu:
1. Huondoa sumu mwilini
2. Husafisha tumbo
3. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
4. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
5. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
6. Huzuia kuhara damu (Dysentery)
7. Huondoa Gesi tumboni
8. Hutibu msokoto wa tumbo
9. Hutibu Typhoid
10. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
11. Hutibu mafua na malaria
12. Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake
unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara
kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB)
13. Hutibu kipindupindu
14. Hutibu upele
15. Huvunjavunja mawe katika figo
16. Hutibu mba kichwani
17. Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri niliyopenda zaidi katika
kitunguu swaumu.
18. Huzuia meno kung'ooka na kutuliza maumivu
19. Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi
(kushindwa kusimama kabisa uume)
20. Hutibu maumivu ya kichwa
21. Hutibu kizunguzungu
22. Hutibu shinikizo la juu la damu
23. Huzuia saratani/kansa
24. Hutibu maumivu ya jongo/gout
25. Huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
26. Huongeza hamu ya kula
27. Huzuia damu kuganda
28. Husaidia kutibu kisukari
29. Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi (ni kweli, na ni moja
ya kazi nyingine ya kitunguu swaumu iliyonishangaza zaidi) pia
kinaondoa msongo wa mawazo/stress na kukufanya uishi miaka
mingi
30. Huongeza SANA kinga ya mwili na kwa muda mfupi, kijaribu
na ulete majibu

Comments

Post a Comment

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI