ZIJUE FAIDA 13 ZA KULA TENDE MWILINI.
MADA YANGU YA LEO.ZIJUE FAIDA ZA KULA TENDE
Tende ni tunda linalo yayuka karahisi tumboni tunda hili lina faida nyingi sana kwenye miili yetu ndo maana tunda hili.linapendwa sana ila limezoeleka kuliwa sana kwenye mwezi mtukufu wa ramadhani.
Japo kuwa tunda hili linastahili kuliwa kila siku kama matunda mengine mfano๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐๐ฅญnk..
Faida za kula tende๐๐ป
1.ende ina kiwango kikubwa cha nyuzinyuzi.
2.tende hutibu tatizo la kuvimbiwa.
3.tende huboresha tishu za meno.
4.tende husaidia kuongeza uzito.
5.tende husaidia kuupa mwili nguvu na kuondoa uchovu.
6.tende huboresha macho.
7.tende hupunguza kiwango cha kolesterol mwilini.
8.tende husaidia kutibu ainemia.
9.tende husaidia sana kwenye mambo frani ya watu wazima kula tende punje 10 au zaidi. Tumia na maziwa freshi ya moto glas moja kila siku hasubui na jioni kwa muda wa wiki 2 tu hakika utaona matokeo mazuri.
10.tende huzuia saratani ya tumbo.
11.tende huyapa maziwa virutubisho kwa mama anayenyonyesha akiwa anakula tende mtoto wake atakua na afya nzuri.
12.tende huongeza damu.
13.Tende ni nzuri kutumiwa kwa mama mjamzito kwa sababu inasaidia sana mama anapopata uchungu wakati wa kujifungua hawezi kupata shida sana atajifungua haraka kwa idhini ya mwenyezi mungu.
Comments
Post a Comment