UMUHIMU WA TUNDA LA NANASI KATIKA TIBA
UMUHIMU WA TUNDA LA NANASI KATIKA TIBA
Nanasi lina vitamin A,B,na C pia lina madini chuma na phosphorus.
Tunda hili husaidia kutengeneza damu na kuimarisha mifupa,meno, na misuli (muscles)
MATIBABU KWA KUTUMIA NANASI
Hutibu MATATIZO mbali mbali ya tumbo. Bandama,figo,INI na utumbo mwembamba, vidonda pembezoni mwa mdomo na kooni.
.
Pia husaidia magonjwa ya kupoteza kumbu kumbu (kusahau).
Huondoa MATATIZO ya kufunga choo. Pia huwasaidia akina mama wanyonyeshao wenye maziwa machache NA hata wale wenye mimba wanashauriwa sana kutumia mananasi kwa wingi angalau kwa siku ,japo mawili mazima
NANASI LINA faida nyingi lakini nimegusia kidogo tu Allah akituwezesha siku nyingine nitawaelezea zaidi inshaallah
Karibuni sana tujifunze Linda afya yako kwa kutumia TIBA asili madawa ya asili hayana kemikali zozote pia hayana madhala unaweza kutumia hata kama hau umwi, KINGA NI BORA KULIKO TIBA
Comments
Post a Comment