DAWA YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO HATA KAMA VIDONDA NI SUGU
MAHITAJI
HABATI SODA YA UNGA VIJIKO 4
KOMA MANGA YA UNGA VIJIKO 4
MDALASINI WA INDIA WA UNGA VIJIKO 4
ASALI MBICHI NUSU LITA
CHUKUA DAWA HIZO ZOTE ZICHANGANYE SEHEMU MOJA BAADA YA KUZICHANGANYA SEHEMU MOJA
CHANGANYA NA ASALI MBICHI NUSU LITA HAKIKISHA UMECHANGANYA VIZURI DAWA YAKO
BAADA YA HAPO ANZA MATUMIZI YA DAWA
KUNYWA VIJIKO 2 X 2 KWA SIKU KWA MAANA HIYO UNAKUNYWA HASUBUI VIJIKO VIWILI NA JIONI VIJIKO VIWILI
KWA MUDA WA SIKU 10
Dawa hii ndo mwisho wa tatizo la vidonda vya tumbo
KWA IDHINI YA ALLAH UTAPONA BAADA YA KUPONA MSHUKURU ALLAH S.W SIO DR.ABDALLAH MIMI NIMEKUFUNDISHA HASIBAB TU TABIBU NI ALLAH.
Comments
Post a Comment