FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE
FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE
_huondoa vipele kwenye ngozi.
_hutibu homa za mara KWA mara.
_huondoa malaria sugu.
_huondoa vitambi kwa akina mama. Na akina baba.
_hupunguza mtu kuwa na hasira.
_hulainisha ngozi.
_kukuza nywele na kuzifanya ziwe nyeusi.
_huondoa uchovu.
_hutibu fangasi.
_huondoa mabaka na michubuko.
_huondoa ukurutu.
_huondoa harufu mbaya sehemu za siri.
_hutibu tatizo la mchafuko wa damu (allergy)..
_huongeza CD4 mwilini. Ambazo zikipungua ni rahisi sana kupata virusi vya VVU kwaiyo ni vizuri mtu akanywa mafuta ya MLONGE au kutafuna mbegu zake.
_kutibu kisukari.
_hutibu kuhara damu.
_huondoa uvimbe tumboni
_huongeza kasi ya utokaji mkojo kwa wale wenye matatizo ya mkojo unaotoka kidogo kidogo.
_
_hutibu presha ya kupanda na kushuka.
_hutibu pumu.
_hutibu maradhi yote ya MOYO.
_ huondoa tatizo la ugumba.(kutoshika mimba)
_huondoa uvimbe kwenye mfuko wa uzazi.
_huongeza nguvu kiume na kike.
_huondoa mawe kwenye kibofu cha mkojo.
_hutibu fangasi za ndani ya damu.
_hutibu vidonda vya tumbo.
_ huondoa magamba mwilini.
_ huondoa sumu mwilini (kemi Kali,)
_kuimarisha msukumo wa damu.
_hutibu saratani ya matiti.
_husafisha uchafu kwa mama aliyejifungua .
.
Hayo magonjwa yote yanatibika kwa kutumia mafuta ya MLONGE lakini sio lazima upate mafuta hata mbegu zake zinafaa au mizizi yake au majani yake.
magonjwa yote ya ngozi na kufanya ngozi yako iwe laini tumia MAFUTA ya mlonge .
Ukitaka kujitibia magonjwa sugu kwa kutumia majani ya MLONGE chuma majani yake yaweka ndani kwa kuyatandaza sehemu yenye kivuri mpaka yakauke husiyaanike juani ukiya anika juani yanaisha nguvu.
Comments
Post a Comment