JINI MAHABA
BAADHI YA DALILI ZA JINI MAHABA..1
1.Kuwa na dalili zote za mimba,lakini ukipima hakuna mimba
2.Kitu kucheza tumboni kama mtoto..
3.kuchukiwa watu bila sababu yoyote,na kila ufanyalo wanaona ni baya tu..
4.Kujiona Bora Sana kuliko mtu yeyote
5.Kupenda kujitenga na watu
6.kuwa na hofu kupita kiasi..
7.Kutokewa na jini live kupitia umbo la Binadamu na kufanya nae sex(Unakuta huyo jamaa huwa mchovu Sana kwenye sex lakini akiingiwa na jini anakupiga bao tamu Kama la kwenye ndoto mpaka unajiskia Raha isiyo na mfano/Au unapiga bao tamu....
8.Ahadi za ndoa kutotimia..wewe ni wa Kuabudiwa,nitakuoa/tutaonana
9.Kukataa kila mwanaume/Mwanamke anayetaka/kuonesha Nia ya kukuoa/kumuoa
9.Kujiona mdogo hujafikia umri wa kuolewa/kuoa wakati unamiaka 150
10.Kutamani kuolewa /Kuoa baada ya Muda wa kuoa/Kuolewa kupita.
11.Ukilazimisha kuoa/Kuolewa ndoa inakuwa ngumu, ridhiki ngumu
12.Kukimbiwa na wachumba..
13.Mipango ya Ndoa kutofanikiwa kabisa.
14.Ugomvii ,migogoro na mme..Cha ajabu akiwa mbali unammiss unatamani awe karibu na wewe,,afike Sasa,chuki unatamani aondoke tu...
15.Uvivu wa kutopenda kufanya kazi
16.Kuwa na hasira Kali Sana,hasa unapoamka asubuhi.
17.Maumivu makali wakati wa sex,ukipona P.I.D,U.T.I,Fangas na Uvimbe kwenye kizazi,huna...(anataka awe peke take akufaidi)
18.Kutohisi ladha yoyote wakati wa sex
19.Kukosa hamu kabisa ya sex wakati homon ziko sawa.
20.Migogoro isiyoisha isiyo na sababu ya maana katika mahusiano au ndoa..
21.Kuchukia kabisa Kuoa /Kuolewa.
22.Kuota unalea watoto/mtoto
23.Kuota unanyonyesha
24.Kuota umejifungua
25.Mimba kutoka
26.Kuota unafanya sex
27.Kuota unaolewa/kuoa
28.Kuota unafunga ndoa
29.Chukia kwa mme/Mke
30.Ukiwa nae,huwezi kupata mimba.
Hizo ni baadhi tu..
Ukitaka kujitibu
Anakufingia ridhiki
Unakata tamaa ya kujitibu
Unawaonea wote matapeli hakuna wa kukutibu..
Anaweza akakupa maradhi ukaugua Sana ili tu usiende kujitibu.
Ukielekezwa dawa,unachuma anaficha.
Comments
Post a Comment