TIBA YA KIFAFA KWA KUTUMIA MLONGE
KIFAFA CHA KAWAIDA.
Kuna aina nyingi sana za kifafa..lakini zinazotambulika ni 3 achanana kifafa cha mimba bana...
1.Kifafa cha kawaida kilicho sababishwa na kukomaa kwa degedege...hiki ndio nitatoa dawa yake.
2.Kifafa kinachosababishwa na jini
3.Kifafa kinachosababishwa na uchawi/Wachawi.
Kifafa namba 2 na 3 unazunguka kwa waganga bila kupona,unazunguka na dawa bila kupona...cha ajabu sasa,dawa yake ni rahisi sana ila ghalama kidogo tu...
Kifafa cha kawaida.
Chukua magome ya mti wa mlonge
Saga kupata unga wake
Tumia kijiko 1kikubwa kwa mkubwa
Kijko 1kodogo kwa mtoto
kwenye uji kikombe 1 kutwa mara 3 siku 7.
Mlonge huo pichani..
Kifafa ni ugonjwa unaomwangusha mtu na kimtoa povu..
Kifafa hakichagui mahali pa kumwangusha mtu,popote na muda wowote..
Ni ugonjwa unaotesa sana
Ni ugonjwa unamfanya mgonjwa aijihisi mnyonge
Ni ungonjwa unaomfanya mgonjwa ajihis aibu.
Hajiamini kabisa...
Mungu yupo..
Ewe mchawi,unapata faida gani kumloga mwenzako?
Tubadilike..
Comments
Post a Comment