ZIJUE FAIDA ZA 15 ZA MAJANI YA MRONGE

 



ZIJUE FAIDA ,TIBA NA VIRUTUBISHO MBALIMBALI VINAVYO PATIKANA KWENYE MTI WA MRONGE..

1:inajumala ya virutubisho92   

2:viondoa sumu46,  

3:huondo mafuta mwilini 

4:viondoa uvimbe36  .

5: huongeza CD4 cell(white blood cell) 

 6:ina kiasi Cha kutosha Cha madini ya zink ambayo hutumika kuongeza nguvu zakiume  7:mronge huupa Mwili nguvu kupata hamu ya kula

 8:hutibu zaidi ya maradhi 300 ikiwepo presha,sukari ,vidonda vya tumbo,pumu ,nguvu zakiume,u.t.i sugu,kuhara, kusafisha mirija ya uzazi. 

 9: mronge una vitamin c ambayo Ni mara7 ya vitamini c inayopatikan katika machungwa ambayo husaidia Kinga ya Mwili dhidi ya magonjwa,husaidia katika utengenezaji na uimara wa mifupa,meno misuli na ngozi,husaidia kutoa kikohozi na mafua ya alegy  

10: mronge una madini ya chuma ambayo Ni Mara 17 ya madin yachuma yanayopatikana katika maziwa ambayo husaidia kuzalisha homoni katika mwili wa binadam ambazo hufanya kazi mbali mbali mbali Kama kuhakikisha kiwango Cha sukari mwilini kipo sawa pia husaidia kazi ya mfumo wa moyo Kama kuweka vizuri mapigo yamoyo pia husaidia kuongeza nguvu zakiume. 

 11:mronge una protein Mara 2 ya protein inayopatikana katk maziwa ambayo husaidia kutengeneza mfumo mzuri wa damu   

12. Mronge una potassium ambayo husaidia kusimamia kiwango sahihi Cha maji mwilin pia kusambaza  damu mwilini nakuupa mwili nguvu

13.mronge  una vitamin A mbayo husaidia macho kuona vizuri pia husaidia kutunza afya ya ngozi..

14..mbegu za mronge Ni Tiba kubwa ya kidonda Cha kisukari na Cha Moto

15:mbegu za mronge husaidia katika uongezekaji wa sperms

16: Maua ya mronge husaidia kufungua mirija ya uzazi.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI