SIMAMISHA MATITI YALIYOLALA KWA NJIA YA ASILI
🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢
SIMAMISHA MATITI YALIYOLALA KWA NJIA YA ASILI
maziwa
Wadada na Wanamama wengi wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu kutafuta ufumbuzi wa kusimamisha matiti yaliyolala pasipokujua kwamba zipo njia salama za asili za kutatua changamoto hiyo.
Kwa uchunguzi mdogo uliofanywa na dr.khalifa nimegundua kwamba idadi kubwa ya Wanawake hupata changamoto ya matiti kulala baada ya kujifungua na kupitia hatua ya kunyonyesha.
Pia zipo sababu nyingine mbali na hiyo tuliyotaja ambayo huweza kupelekea Matiti ya Mwanamke kulala. Dr ♩nimeweza kutuelezea sababu kuu zinazopelekea matiti ya mwanamke kulala na njia za kusimamisha matiti.
SABABU ZA MATITI KULALA
Afya kuwa mbovu
Kuzaa au kupata Mimba
Kurithi
NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI
Kwa kutumia yai, Vitamin E na Mtindi
MAHITAJI
Yai bichi moja au mawili
Mtindi robo lita
Vitamin E : Mafuta ya Alizeti robo lita
MAANDALIZI
Chukua ute wa yai moja bichi kisha changanya na robo lita ya mafuta ya alizeti, Koroga vizuri huo mchanganyiko kwa dakika 10 na hapo utakuwa tayari kwa matumizi.
MATUMIZI
Pakaa huo mchanganyiko kwenye matiti kuelekea chuchu za matiti yako mara moja kwa siku.
MATOKEO
Siku ya 7 baada ya kutumia dawa hii utapata matokeo mazuri
Endelea kutumia dawa yako hadi utakapopata saizi ya matiti uipendayo.
Comments
Post a Comment