MADHARA YA KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA


 MADHARA YA KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA NA ONGEZEKO LA VIFO VINAVYOTOKANA NA CHANGAMOTO HIZO. 

Zamani ilikuwa ukiwa na kitambi au mnene unaonekana tajiri wa pesa,  lakini siku hizi ukiwa na kitambi unaonekana kuwa tajiri wa Magonjwa anayeiandaa safari ya kwenda kujenga urafiki na hospitali kubwa kubwa kwa kutumia gharama kubwa mno ambazo zitamtia umaskini wa kudumu. Matatizo ya Cholesterol, presha BP,  kisukari,  vidonda vya tumbo, ini, figo, kansa, matatizo ya uzazi,  upungufu nguvu za Kiume na stroke hapo kwenye watu wenye uzito mkubwa na vitambi ni mahali pake.


Magonjwa mengi yanayoshambulia waafrika yanatokana na lifestyle mbaya ya ulaji wa vyakula tunavyotumia. wengi wanafikiri kufanya mazoezi na kushinda njaa kutawafanya wapungue kumbe sio kweli. Hauwezi kupungua kama haujaziondoa kemikalli mwilini ambazo  zinaulazimisha mwili wako kuhifadhi mafuta.


Wanawake wengi nao sku  hizi wanavitambi ambavyo vinaleta shepu mbaya na kupoteza mvuto wote hata kama wakivaa nguo mpya bado  wanaonekana wazee. Wanaume wengi hawavutiwi na mwanamke mwenye Tumbo kubwa, pia hawavutiwi na mwanamke mnene sababu hawana shepu nzuri. Wanawake wengi hupata vitambi baada ya kujifua mtoto,  mafuta huifadhiwa kwenye leya ya maeneo ya tumbo. Pia  vitambi vingine hutokana na ulaji wa chips,  vyakula vya wanga kwa wingi na unywaji wa bia. Wengi wao Hawajui gharama inayowanyemelea ya kupoteza pesa nyingi kwenye mahospitali. 

Fikiria umefanya kazi na umepata pesa nyingi ambazo zitaishia kuhangaikia kuyatibu magonjwa sugu uliyoyatafuta kwa starehe zako za sasa.


Ni kwamba Dr.Abdallah nipo karibu yako zaidi nakuletea dawa bora ya asili


#ZAINBROS


KAZI YAKE KUBWA NI 👇👇


1)kurekebisha mapigo ya moyo.


2)kuzibua mishipa ya damu.


3)kusafisha damu iliyochafuka.


4)inarekebisha mfumo wa mwili kuwa mwepesi.


5)waosumbuliwa na kuvimba kwa miguu.


6)magonjwa ya figo na ini.


7)inapunguza uzito.


8) inapunguza unene na mafuta mwilini. (Cholestrol).


#Dawayaasili 

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI