JINSI YA KUONDOA CHUNUSI USONI


 🍅UREMBO ASILI🍅 SEHEMU YA KWANZA, 


🍎JINSI YA KUTOA CHUNUSI SUGU USONI NA MIKUNJO YA NGOZI. MAKOVU NA  KUONDOA TATIZO LA NGOZI KUWA KAVU VILEVILE MCHANGANYIKO HUU UNAFAA KWA WALE WENYE MAFUTA USONI🍅


KARIBU NIKUJUZE HUSIYOYAJUA NA KAMA UNAYAJUA BASI NAKUONGEZA UJUZI..


KAMA UNAVYOONA KWENYE PICHA HAPO👇🏻


KUNA LIMAU 🍋


KUNA YAI 🥚


NA ASALI MBICHI YA NYUKI🐝


BILA SHAKA VITU VYOTE IVI VINAPATIKANA KWA URAHISI SANA VILE VILE  HAVICHUKUI MUDA MREFU SAANA 👇🏻


KUVIANDAA👇🏻


TUPATE CHOMBO KISAFI YAWEZA KUWA BAKURI AU KIFAA CHOCHOTE CHUKUA YAI LA KUKU KAMA UTAPATA YAI LA KIENYEJI ITAPENDEZA ZAIDI  LIVUNJE KATI TUNACHOHITAJI.KWENYE YAI NI ULE UTE MWEUPE KAMA MAJI SIO KIINI CHA NJANO👇🏻

 

BAADA YA HAPO CHUKUA LIMAO KAMLIA MAJI YA LIMAO  KIDOGO SAANA KWA SABABU LIMAO NI NZURI KWA NGOZI LAKINI UKIWEKA NYINGI ITAKUWASHA USONI WEKA KIDOGO TU👇🏻


Chukua na asali kijiko kimoja weka kwenye mchanganyiko wako wa yai na lamao  baada kuweka asali tumia kijiko kuchanganya vitu vyako koroga vizuri 👇🏻


Subiri kama dakika 5  baada ya hapo chukua kitambaa osha uso wako  kwa kutumia  maji ya kawaida baada ya hapo subiri mpaka uso wako ukauke maji👇🏻


Kisha chukua pamba tumia kugulia usoni anza kupaka uso wako kama unasugua frani hivi hakikisha uso wako umeupaka vizuri mchanaganyiko huo ukimaliza kupaka kaa kwa  muda wa dakika.15  kisha osha uso wako kwa kutumia maji ya kawaida  baada ya hapo tumia mafuta ya ndimu kupaka  uso wako fanya zoezi hilo hasubui na jioni kwa muda wa siku 12 utapata majibu. Dawa unayoindaa hasubui inafaa kutumiwa jioni kama itakua imebaki.


Asante.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI