JINSI YA KUONDOA CHUNUSI USONI
🍅UREMBO ASILI🍅 SEHEMU YA KWANZA, 🍎JINSI YA KUTOA CHUNUSI SUGU USONI NA MIKUNJO YA NGOZI. MAKOVU NA KUONDOA TATIZO LA NGOZI KUWA KAVU VILEVILE MCHANGANYIKO HUU UNAFAA KWA WALE WENYE MAFUTA USONI🍅 KARIBU NIKUJUZE HUSIYOYAJUA NA KAMA UNAYAJUA BASI NAKUONGEZA UJUZI.. KAMA UNAVYOONA KWENYE PICHA HAPO👇🏻 KUNA LIMAU 🍋 KUNA YAI 🥚 NA ASALI MBICHI YA NYUKI🐝 BILA SHAKA VITU VYOTE IVI VINAPATIKANA KWA URAHISI SANA VILE VILE HAVICHUKUI MUDA MREFU SAANA 👇🏻 KUVIANDAA👇🏻 TUPATE CHOMBO KISAFI YAWEZA KUWA BAKURI AU KIFAA CHOCHOTE CHUKUA YAI LA KUKU KAMA UTAPATA YAI LA KIENYEJI ITAPENDEZA ZAIDI LIVUNJE KATI TUNACHOHITAJI.KWENYE YAI NI ULE UTE MWEUPE KAMA MAJI SIO KIINI CHA NJANO👇🏻 BAADA YA HAPO CHUKUA LIMAO KAMLIA MAJI YA LIMAO KIDOGO SAANA KWA SABABU LIMAO NI NZURI KWA NGOZI LAKINI UKIWEKA NYINGI ITAKUWASHA USONI WEKA KIDOGO TU👇🏻 Chukua na asali kijiko kimoja weka kwenye mchanganyiko wako wa yai na lamao baada kuweka asali tumia kijiko kucha...