FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA PUMU
#PUMU__ ni miongoni mwa ugonjwa sugu unaowasumbua watu duniani. Neno PUMU maana yake in ugumu wa upumuaji katika hali ya kawaida, mgonjwa hupumua kwa mdomo au pua, kupitia katika mirija ya hewa na kusafiri_
Katika mapafu. MTU mwenye afya upumua kwa sekunde 16 adi 18 watoto sekunde 20 adi 25 watoto wachanga sekunde 40 , _
MTU mzima huvuta hewa 230 adi 250 za sentimenta za mraba za hewa , lakini kwa mgonjwa wa PUMU sivyo hivyo zaidi ya kupumua kwa shida na sauti kukoroma.
AINA_ZA_UGONJWA_WA_PUMU
KUNA AINA MBILI ZA UGONJWA WA PUMU.
1)PUMU ya kikoromeo inaitwa hivyo kwa sababu tatizo linatokea katika koromeo.
2)PUMU ya moyo(cardiac asthma) matatizo yanatoka katika moyo kutoweza kupumua vizuri kwa sababu ya kuferi kwa moyo.
SABABU_ZA_KUPATA_PUMU
1) Mzio(allergy)
UGONJWA wa PUMU unasababishwa na mzio. Mzio ni aina ya mkatazo katika mwili , mzio unaweza kuwa wa manukato mbali mbali ,vumbi ,na vyakula mbali mbali mfano watu wengi wana mzio wa maziwa,mayai , na baadhi ya samaki.
2)KURITHI________HII ni sababu kubwa ya kupata pumu hasa kwa wale wa ukoo wenye pumu . kama historia yenu ya familia inaonyesha babu zako, baba yako walisumbuliwa na pumu nawewe unaweza kusumbuliwa na pumu .
3)PAKA NI MNYAMA Tunaishi nae na kumjali pia anapata huduma nzuri tu nyumbani na maofisini na sehemu nyingine mbali mbali_
lakini watu wengi hawajui kuwa paka ni miongoni mwa sababu za kuleta tatizo la pumu hasa kwa watoto wadogo ambao hawaja jitambua ukitaka kujua kwamba paka anaambukiza pumu mchukue paka msikilizie anavyo pumua utasikia kama anakoroma jinsi anavyovuta hewa NYOA moja la paka likiingia puani tu baada ya Siku tatu utapata tatizo la pumu.
4)SABABU_ZA_KISAIKOLOJIA
kama huna matatizo ya mihemko hasa kama vile kuwa na wivu sana ,hasira,chuki mpenda ugomvi , kuongea ovyo maneno machafu ,ukiwa na matatizo hayo itakua rahisi wewe kupata pumu kwa sababu hautokua na muda wa kuvuta pumzi vizuri zaidi ya ugomvi na chuki.
MABADIRIKO_YA_HALI_YA__HEWA
pumu inaweza kutokea baada ya hali ya hewa kubadirika (baridi sana kipindi cha mvua,) baridi ikipiga katika mapafu na kusababisha mishipa ya damu isiingize oksijeni hasa katka hewa inayovutwa matokeo yake oksijeni inapungua katika katika koromeo hasa mpira wa kupumulia na moyo.
MTINDO_USIOFAA_KATIKA_MAISHA_TUNAYOISHI
_KULA VYAKULA VILIVYOKOBOLEA
_KULA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI.
_KUKAA SEHEMU ZENYE HEWA CHAFU ZA VIWANDANI AU SEHEMU ZENYE HARUFU MBAYA.
DALILI_ZA_UGONJWA WA PUMU
1️⃣kifua kubana
2️⃣mapigo ya moyo kwenda mbio.
3️⃣kuhisi baridi mara kwa Mara.
4️⃣kukosa hewa ya kutosha kwenye mirija.
TIBA YA PUMU KWA KUTUMIA NJIA ZA ASILI
zipo njia 3au,4 za kufanya ili uweze kupona tatizo ilo njia ya kwanza hii hapa
1️⃣chukua ,alikisusi ya unga ,habat soda ya unga karafuu ya unga.kitunguu swaumu ya unga.alimiti glam 10 tangawizi ya unga dawa hizo inabidi upate vijiko 3_3 bi maana kila dawa upate vijiko vitatu chukua na asali mbichi nusu Lita changanya dawa hizo zote sehemu moja koroga vizuri hakikisha dawa zimechanganyika vizuri na asali kisha iache dawa iyo ilale siku moja _
Siku ya pili anza kutumia dawa kuanzia miaka 14 na kuendelea kula vijiko 2x2 kwa Siku watoto wadogo kuanzia miaka 5 mpaka 12 kijiko kikubwa 1 x2 kwa siku
Dawa hii unatumia ndani ya siku 15 had 22 utapona
Inshaallah.
FUNDULA
NI VIDUDE VIPO KAMA KONO KONO LAKINI VIDOGO VIDOGO VINAPATIKANA PEMBEZONI MWA BAHARI
kutibu pumu kwa kutumia #fundula
Chukua fundula 15: weka kwenye chupa
Au bakuri ya bati kisha kamlia ndimu 6
Ukisha kamlia ndimu fundula zitayayuka zitakua kama maji yaliyooshewa mchele maji yatakua meupe halafu mazito matumizi vijiko 3 x,3 kwa Siku bi maana hasubuh mchana jioni.ndani ya Siku 17
KUNYWA
Chai ya mchai chai iliyowekwa tangawizi. Hasubui na jion ndani ya siku 24 utapata majibu.
Jitahidi ukae sehemu yenye hewa safi
Usipendelee kula chakula kingi usiku.
Husile vyakula hivi: bamia ,vyakula vyenye sukari nyingi na mafuta mengi ,sembe.
Fanya mazoezi ya kukimbia ,kutembea mazoezi ya viungo N.B Fanya kwa kiasi.
Jitahidi kunywa maji angalau Lita 4 kwa Siku.
Dhibiti hasira zako.fikra zako.msongo wa mawazo,wivu na kupaniki ovyo ovyo.
MAMBO_YANAYOTAKIWA_KUFANYA_MGONJWA_WA_PUMU
Ukiamka asubuhi usitoke nje mabega wazi pasipo kujihifadhi na nguo yoyote.
Kipindi cha baridi pendelea kuoga maji ya moto na ukishaoga husitoke nje kipindi cha baridi bila kuvaa sweta zito.
Kipindi cha baridi husitembee miguu wazi na usivae kanda mbili vaa viatu vya kutumbukiza.
Jitahidi ukae katika hewa safi.
Kaa mbali na vumbi,moshi, na MTU anayevuta sigara.
Ukimaliza kula chakula cha usiku kaa masaa mawili ndo ulale.
Hayo nimekuambia tu kama una tatizo LA pumu lazima ufate mambo hayo ili uweze kutumia njia za asili kujitibia tatizo la pumu
Asante sana
Karibu.
Comments
Post a Comment