FIGO NA UTENDAJI WAKE
Figo Zipo mbili zinapatikana upande wa chini wa uti wa mgongo.
Damu inapita katika figo na kurudia rudia figo, figo inasafisha na kuchuja damu, figo inatenganisha damu na uchafu na sumu mbali mbali.
Damu safi inasambaa mwilini uchafu unatoka kwa NJIA ya haja ndogo (MKOJO)
Figo inasimamia kiwango cha maji pia. Pia figo inazalisha MKOJO Lita 2 kwa siku, kazi nyingine ya figo ni kusababisha uwekundu katika damu na kulinda uwekundu usipotee.
MAWE KATIKA FIGO
Mawe yanatokea katika figo kutokana na mahambukizi ya figo.
Kuzuia kuingia MKOJO katika kibofu kunasababisha MATATIZO katika kibofu, MKOJO unaganda na kusababisha mawe.
Kutokula vyakula vyenye vitamin na lishe vinasababisha MKOJO kuwa mzito na kutengeneza vijiwe.
Vyakula vya asidi na kutokunywa maji kwa wingi ni sababu ya mawe katika figo, kutumia vyakula vyenye sukari nyingi vinasababisha mawe katika kibofu.
DALILI ZA MAWE KATIKA FiGO
_kukojoa damu au usaha
_maumivu wakati wa kukojoa.
_maumivu katika kibofu na kwenye kiuno na maeneo ya karibu na kibofu.
.
_kujisikia baridi Mara kwa Mara ,kutetemeka ,mwili kuwa na joto sana
TIBA YA YA VIJIWE KATIKA FIGO
_kula tikiti maji au juisi yake kwa siku 15
_siku ya 16 baada ya chakula kula vidande viwili vya mdalasini
_ kunywa juisi ya figiri kwa siku 10 uwe unakunywa hasubui tu kabla ya kula chochote.
_ kunywa MAZIWA freshi yaliyo changanywa na #badani rose kwa siku 10 tu kunywa glas 1 x2 kwa siku
Kunywa maji ya madafu ,madafu 2 kunywa MAJI yake ndani ya siku 10 hasubui tu kabla ya kula
Changanya vitunguu maji viwili na asali kula kijiko kimoja hasubui na jioni ndani ya siku 10
Hizo NJIA ZOTE nilizo elekekeza sio lazima uzitumie zote hapana wewe chagua njia moja ambayo utaona ni nyepesi kwako kwa idhini ya ALLAH utapona.
Comments
Post a Comment