FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI

 




LEO KWENYE SOMO LETU TUNAJIFUNZA KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI.

Chanzo cha ugonjwa wa kisukari.


Dalili za ugonjwa wa kisukari.


Tiba za ugonjwa wa kisukari. Kwa kutumia njia za asili.


Karibu sana.


#ZAMANI ugonjwa huu watu walikua wanauita  mkojo mtamu . sukari nyingi mwilini kuliko kawaida_


Ya mahitaji katika mwili wa binadamu  japo kuwa kuna ugonjwa wa upungufu wa sukari . sukari inakua nyingi kwakua inachujwa na kuingia katika mfumo wa mkojo_


Wakati wa damu inapopita katika figo na mkojo wa mgonjwa kuwa mtamu.


Kuwemo kwa sukari nyingi mwilini au katika damu  kutokana na kuyeyushwa kwa vyakula vya wanga kwa mfano. Ugali ,wali, mkate nk..kuyeyushwa  ili ikatumike kuleta joto mwilini_


Na kutia nguvu mwilini . ulaji wa vitu vitamu bandia, pombe ,kahawa,bickuti,sigara na soda aina zote.  Hivi ni vitu vinavyosababisha sukari kuwa nyingi mwilini_


Sukari hurundikana katika damu  kwa kukosa kwa kwenda kwa sababu ya upungufu wa homoni ya #INSULIN upungufu waweza kuleta maradhi yanayozingira kongosho.  Kama vile tezi_


Vidonda pancreaties.  Unene pia  huweza  kuongeza mahitaji ya  insulini.  Kwaiyo watu wanene sana wana  uwezekano wa kupata ugonjwa wa kisukari. Simanishi watu wembamba hawapati ugonjwa kisukari hapana hata watu wembamba wanapata ugonjwa  wa kisukari lakini kwa asimia 80 watu wanene wanaongoza kwa kupata ugonjwa wa kisukari.


#DALILI_ZA_UGONJWA_WA_KISUKARI


1)kukojoa mara kwa Mara.


2)kutokwa na mkojo mwingi tena mweupe hauna rangi.


3)kujisikia kiu sana na kunywa maji mengi.


4)kuchoka sana Mara kwa Mara.


5)kukonda kwa sababu chakula hakiingii mwilini ipasavyo .


6) mwili kufa gazi hususani vidole vya mikono na miguu.


7)figo kutofanya kazi vizuri.


8)ugonjwa wa chembe ya moyo  , kwa sababu sukari husababisha mafuta mengi kuwa kwenye damu.


9)kutoona vizuri , hivyo mgonjwa WA kisukari kuna wakati  hulazimika kutumia miwani .


10) majipu  ,vipele muwasho wa mwili na kuchoka choka hii ni matokeo ya kukosa kinga mwilini , kwa sababu mgonjwa WA kisukari huwa hanapungukiwa na udhaifu wa kinga pia.


N.B.SI LAZIMA  UWE NA DALILI ZOTE ILA UKIJIONA UNA BAADHI TU BASI KAPIME KISUKARI.


#ASANTE.


KINGA NA TIBA ZAKE KWA NJIA ZA ASILI.


Tiba zipo nyingi ambazo nitazielezea pamoja na dozi zake kwa mtumiaji. Pamoja na tiba lakini huzingatiaji wa vyakula ufatwe.


* Kunywa chai iliyo tengeneza kwa  kutumia mchaichai   kwa mgonjwa WA kisukari isio na sukari hata chembe , ndani ya kikombe cha chai weka kipande cha ndimu kilichokatwa katwa na majani au maganda yake ,  kunywa gras mbili kutwa x 2 hasubui na jioni  kwa muda wa siku 40 utapata majibu hakika tiba hii ni nzuri sana.


N.b Usipende kula chakula cha unga uliokobolewa  Epuka vyakula au vinywaji vyenye sukari Usile vyakula vyenye mafuta mengi , Usile mlo kwa kiasi kikubwa ( mpaka ukavimbiwa).


*Tumia vyakula vyenye asili ya wanga na matunda kama vyanzo vya sukari , papai,tungule ,peasi ,embe ,chungwa,n.k. kwa kiasi kidogo unaweza kupikiwa mboga au chakula kwa kutumia  mafuta yenye kuimarisha afya kama_


Mafuta za zaituni, mafuta ya parachichi au karanga. Epuka mafuta yatakanayo na wanyama.


#KUTIBU_KISUKARI_KWA_KUTUMIA_LIMAO


Limao likitengenezwa juice yake lina uwezo wa kupunguza sukari au kutibu kabisa kwa uwezo wa Allah 


Siku ya kwanza hasubui tumia limao 6 siku ya pili limao 12 _


Siku ya tatu tumia limao 15 siku ya nne tumia Limao 17 siku ya tano tumia Limao 20  siku sita limao 15 siku ya saba tumia limao 6  hapo utakua umemaliza dozi.


Wiki ya pili siku ya kwanza limao 10 siku ya pili limao 15 siku ya tatu limao  16 siku ya nne tumia limao 20 siku ya tano limao 7 siku ya sita Limao 6 siku ya saba limao 10


Hapo utakua umemaliza dozi  ambayo dozi iyo unaifanya kwa wiki moja moja usichanganye kitu chochote pale unapotengeneza juisi iyo.


Wiki ya tatu.


Siku ya kwanza tumia limao 10 siku ya pili limao utumie limao 15 siku ya tatu limao 17 siku ya nne limao 20 siku ya tano limao 22   siku ya 6 limao 16 siku ya 7 limao 10 . hapo utakua umemaliza dozi ya tatu ambayo ni ya wiki moja  husichanganye kitu chochote kila unapotengeneza dawa hiyo.


N.b dawa isilazwe kunyewa siku ya pili . waweza kuifafhi kwenye jokofu na kunywa kidogo kidogo . kuanzia hasubui mpaka jioni unakunywa dawa yako lazima utaimaliza tu husinywe mpukuo yaani yote ukatumia kwa Mara moja. Ila tumia kidogo kidogo hadi imalizike , ni vizuri ukanywa hasubui mchana na jioni .


Asubuh kabla ya kula kitu chochote anza dozi hii .


Tiba hii licha ya kumsaidia muathirika WA kisukari   . kwa dozi kama hiweza kuponyesha matatizo ya tumbo kusaga chakula ,maumivu sugu ya kichwa, pumu,majipu ,kupunguza unene. Kukosa hamu ya chakula ,tatizo la ini, ugonjwa wa tauni.


*mgonjwa wa sukari  kuna uwezekano  mkubwa kwa mwanaume kupata upungufu wa nguvu za kiume.


Kwa upande wa mwanamke kukosa au kupungukiwa na hamu ya tendo la ndoa . 


KISUKARI ni ugonjwa kati ya magonjwa sugu .


Tiba nyingine ya kutibu ugonjwa wa kisukari.


Kunywa juice  ya muarobaini glas moja kunywa mala 2  hasubui na jioni kwa muda wa siku 60  utapona inshaallah


Tiba nyingine---tafuna mbegu za mlonge  mbegu tatu hasubui na jioni kwa muda siku 21 utapata majibu.


  

Ukiona kutumia njia izo zote hauwezi basi kanunue dawa hizo nilizokupostia  the insulin na hemani.


Nunua dawa moja kati ya hizo mbili ambazo zimesha fanyiwa mchanyiko wa dawa za asili mbali mbali zenye uwezo wa kutibu ugonjwa sugu wa kisukari. Inshaallah


Asante 


Karibu.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI