TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU
TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU
karafuu ni miongoni mwa kiungo cha chakula na dawa mbali mbali karafuu inajulikana ulimwenguni kwa tiba magonjwa mbali mbali.
Magonjwa hayo ni kutoa gesi tumboni, tatizo la mmeng'enyo.kutapika, na matatizo katika meno.
JITIBU KWA KUTUMIA KARAFUU
Matatizo katika misuri
#ganzi ya mikono na miguu.
#kiharusi
#maumivu ya viungo.
#uvimbe.
Tumia mafuta ya karafuu kwa kuchulia sehemu yenye matatizo.
.
#KUHARISHA
Chukua karafuu weka kwenye maji chemsha kunywa kuharisha kutaisha
#KICHEFUCHEFU
tafuna punje za karafuu tatu kichefuchefu kitaisha.
#MATATIZO #YA #MENO
Sukutua maji ya uvugu vugu yalichemshwa na karafuu.
#MAUMIVU YA KICHWA.(kipanda USO)
Chukua mafuta ya karafuu changanya na chumvi ya mawe kidogo kisha pakaa kichwan sehemu inayouma. Maumivu yata kata.
#JINO LILILOTOBOKA:
chukua pamba weka ktk mafuta ya karafuu kisha weka kwenye jino lililotoboka ukiweka iyo pamba sikilizia kama dakika 30 ndo uitoe Fanya ivyo kwa wiki mala 3 utaona matokeo mazuri inshaallah
#GESI_TUMBONI
kunywa maji yaliyochemshwa na karafuu na binzari Nene (,shomari,) kikombe 1x,2 kwa siku kwa muda wa siku 3
Karafuu inatibu magonjwa mengi sana kwa uwezo wa Allah.
Comments
Post a Comment