TIBU MAGONJWA YA/NA PRESSURE YA MACHO (GLAUCOMA
EPUKA UPOFU: TIBU MAGONJWA
YA/NA PRESSURE YA MACHO (GLAUCOMA)
Ugonjwa wa macho huathiri mishipa ya fahamu inayohusika na kuona kitaalamu huitwa optic nerve na mgonjwa asipokua makini na matibabu yake basi huweza kupata upofu wa moja kwa moja na asione tena maishani mwake.
MAGONJWA HAYO NI KAMA ;
1-Pressure ya macho (Glaucoma),
Ugonjwa wa macho unaosababishwa na Kisukari
(Retinopathy),
2-Macho makavu,
Tongotongo (Mucus),
Wekundu wa macho (Red Eyes),
3-Uvimbe wa macho na mishipa ya macho na (Uveitis) kusababisha uharibifu wa tishu za macho,
4-Uchovu wa macho utokanao na kuangalia miale na mwanga mkali, Tv (Eyestrain),
Upofu Wa Usiku (Nyctalopia),
5-Mtoto Wa Jicho,
Mtazamo Wa Karibu (Myopia & Hypermetropia),
Ugonjwa wa jicho unaohusishwa na kuzeeka (Presbyopia),
Strabismus (au Msalaba Macho), nk
CHANZO CHA UGONJWA
Kitaalamu upande wa mbele ya jicho kuna majimaji ambayo kitaalamu tunaita aquous homour ambayo kazi yake ni kuleta virutubisho kwenye sehemu za jicho iitwayo iris, lenzi na cornea.
Pia majimaji hayo huondoa mabaki ya matumizi ya virutubisho hivyo vilevile hutunza shepu ya jicho. Sasa majimaji haya yanapozidi ndio presha ya macho inapanda.
Kwa kawaida hali hii hurithiwa kutoka kwenye kizazi kimoja mpaka kingine na
SABABU ZINGINE ZINAZOWEZA KUONGEZA PRESHA HII NI :
A-magonjwa ya macho
B-Kuumia jicho kwa kupigwa na kitu
C-kumwagikiwa kemikali
D-upasuaji wa macho wa kutibu tatizo lingine la macho
E-Kuziba na kuharibiwa kwa mirija ya optic (optic nerve) na kuzuia kusafirishwa kwa taarifa kwenda kwenye ubongo kutafsiriwa
F-Matumizi ya dawa ya muda mrefu
G-Kupungua kwa damu kwenye mishipa ya optic
H-Shinikizo la juu LA damu
I-Ugonjwa wa kisukari
MTIBABU TUNAYOYATOA NA MSAADA WAKE KWAKO
Mgonjwa wa macho hutumia Choleduz Omega-3 Supreme na Mychoco (Mtoto), na C24/7 au Complete (Watu wazima).
Viambata Madini ya CALCIUM, Vitamin A, Vitamin D, Chromium, DHA (Decosa Hexanoic Acid) & EPA (Ecosa Pentanoic Acid), Protein n.k Hutibu na kukinga magonjwa yote ya macho.
FAIDA ZA TIBA ZETU ;
1-Husaidia kuona mbali na pembeni
2-Kuondoa wekundu wa macho
3-Hutibu na kuzuia maumivu makali ya macho
4-Hukulinda na kuzuia kuona kama mawingu mawingu au ukungu
5-Huongeza Uoni na kuzuia kuona Taswira zaidi ya moja
6-Huondoa na kutibu madhara kwenye mishipa ya Optic yatokanayo na Ugonjwa wa kisukari, Ini, macho, moyo nk, ambayo huongezeka na kusababisha mgonjwa kupoteza uwezo wa kuona
7-Huzuia Maumivu ya kichwa na hukupa nafasi ya kuona vizuri bila miwani
8-Hutibu upofu
9-Huimarisha uratibu na usabazaji wa virutubisho kwenye Iris, lenzi na Cornea.
10-Husafisha Optic Nerve na kuondoa uchafu, hivo kuongeza uratibu wa Kazi ya macho.
Matibabu haya yakichukuliwa ipasavyo, humsaidia hata anayetumia miwani kuacha kabisa na kuwa salama.
Comments
Post a Comment