TIBA YA SARATANI KWA KUTUMIA STAFELI
Allah s.w hakika ameweka ponyo kwenye mti huu wa mstafeli mti huu unazungumziwa sana nchini kwa sababu umewasaidia watu wengi katika kuwatibu magonjwa sugu hasa ugonjwa huu unaowasumbua watu saratani ya #tezi dume na saratani nyingine nyingi.
Saratani aina zote zinatibika kwa kutumia mstafeli. Kama vile_
Saratani ya mapafu.
Saratani ya mdomo.
Saratani ya kwenye ulimi.
Saratani ya shingo ya kizazi.
Saratani ya ini..
Saratani ya mji wa uzazi.
Saratani ya matiti .
Saratani ya kongosho.
Na nyingine nyingi.
Majani ya mstafeli yanatibu.
Maumivu ya mgongo.
Kisukari.
Yanaongeza kinga ya mwili.
Yanaimarisha afya ya mfumo wa upumuaji.
Mazuri kwa afya ya moyo.
Maumivu ya nyonga.
Yanaongeza cd4 mwilini nk..
Matumizi unaweza kutengeza juice yake kwa kutumia matunda yake ukawa unakunywa glas moja x 2 kwa siku. Kwa muda wa siku 21
au ukachemsha majani yake ukawa unakunjwa kikombe kimoja x2 kwa siku kwa muda wa siku 21
Kama hauwezi hayo yote basi chukua majani ya mstafeli yaponde au yatwange kisha yaanike juani yakikauka kidogo yatwange ili mradi upate unga matumizi tumia unga uo kwenye uji kikombe kimoja weka kijiko kimoja kikubwa kutwa x 2 kwa muda wa siku 21
Karibu sana.
Comments
Post a Comment