UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA


 UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA

WATU


 wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba


JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?


Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles.


Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30 mpaka 50


AINA ZA BAWASIRI

Kuna Aina kuu mbili za bawasiri

Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili

Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa

Aina hii imegawanyika katika madaraja manne

(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika

(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia.

(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.

(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi


(B)BAWASIHEMORRHOIDS


Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS


CHANZO CHA TATIZO

chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo ni vihatarishi kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷

A-KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

B-KUHARISHA KWA MUDA MREFU

C-KUTOPATA CHOO KWA MDA MREFU

MATATIZO YA UMRI

D-KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU

E-UZITO KUPITA KIASI

F-MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU SANA


DALILI ZA BAWASIRI

1-Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa

2-kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

3-kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa

4-kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo

5-kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana


MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI

~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa na anion chip kubandika mahali penye tatizo na kuondoa tatizo Hilo


~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia

@-KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA

@-KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku

@-EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU

@-Epuka vyo vya kukaa


MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI

X-kupata upungufu wa damu (anemia)

X-Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo

X-Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume na

X-Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake

X-kuathirika kisaikolojia

X-kukosa moral ya kufanya Kazi na maumivu makali


TIBA NA USHAURI KWA MGONJWA WA BAWASILI

¤ Mgonjwa anatakiwa kutumia vyakula aina ya kambakamba kwa wingi.

¤ kutumia maji mengi kwa siku,

¤ kujisaidia mara moja bila kujibana pindi ajisikiapo kujisaidia.

¤ kufanya mazoezi ya mwili.

¤ pindi tatizo linapozidi kua kubwa mgonjwa hupewa dawa kwa ajili ya matumizi ya muda mrefu.

Hili ni tatizo linalosumbua watu wengi sana katika jamii,humkosesha mtu amani kabisa hadi kufikia

wagonjwa wengine kushindwa kukaa na kuvuja damu nyingi mpaka kulazwa hospitali kwa mda mrefu.


Tiba ya tatizo hili kwa kutumia Dawa za miti shamba au asilia  zilizotengenezwa kwa mimea


dawa zetu huondoa uvimbe wowote ulio katika mfumo wa chakula,ikiwa na maana kua endapo kama kutakua na dalili za bawasili (uvimbe kwenye hajakubwa) ,

pia hufanya kazi ya kurekebisha mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula na kumfanya mtu apate choo kwa ulaini na bila maumivu, kutibu vidonda vya tumbo na kuondoa tatizo la kiungulia ama acid

reflux.


Dawa hizi ni dawa asili zenye nguvu sana hivyo utazitumia kwa muda wa siku 30 tu . na kisha hali yako kutengamaa.

Dawa hizi ni matokeo baada ya kupembuliwa kwa umakini kile kiini tiba na kuwekwa katika mfumo salama na rahisi kwa matumizi ya mgonjwa.


NB: Chemotherapy ama operation kwa kukata sehemu iliyoota inafeli mara nyingi kutibu tatizo hili kutokana na kwamba tatizo hujirudia tena na tena. hivo tunashauri Tumia hizi dawa kwa muda wa siku 30, 


huku ukifata ushauri wa kitaalamu ambao tutakupa juu ya matumizi ya vyakula, tatizo litakuwa limekwisha kabisa  dawa zetu zina uhakika wa kumaliza tatizo.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI