FAHAMU TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU
TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU karafuu ni miongoni mwa kiungo cha chakula na dawa mbali mbali karafuu inajulikana ulimwenguni kwa tiba magonjwa mbali mbali. Magonjwa hayo ni kutoa gesi tumboni, tatizo la mmeng'enyo.kutapika, na matatizo katika meno. JITIBU KWA KUTUMIA KARAFUU Matatizo katika misuri #ganzi ya mikono na miguu. #kiharusi #maumivu ya viungo. #uvimbe. Tumia mafuta ya karafuu kwa kuchulia sehemu yenye matatizo. . 1.KUHARISHA Chukua karafuu weka kwenye maji chemsha kunywa kuharisha kutaisha 2.KICHEFUCHEFU tafuna punje za karafuu tatu kichefuchefu kitaisha. 3.MATATIZO YA MENO Sukutua maji ya uvugu vugu yalichemshwa na karafuu. 4.MAUMIVU YA KICHWA.(kipanda USO) Chukua mafuta ya karafuu changanya na chumvi ya mawe kidogo kisha pakaa kichwan sehemu inayouma. Maumivu yata kata. 5.JINO LILILOTOBOKA: chukua pamba weka ktk mafuta ya karafuu kisha weka kwenye jino lililotoboka ukiweka iyo pamba sikilizia kama dakika 30 ndo ui...