ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI

FAIDA ZA STRAWBERRY MWILINI

Matunda haya ya strawberry yana faida nyingi sana katika mwili wa binadamu ikiwa ni pamoja nafaida za kiafya. Faida hizo ni kama ifuatavyo

1-Hutunza ngozi ya mwili ( anti-aging skin)
2-Huimarisha mifupa ( bone care)
3- Hupunguza madhara ya presha ya kupanda na kushuka( hype –
tension)
4-Ina madini yanayohitajika kwa mama wajawazito na ukuaji wa mimba ( natal care)
5-Kinga na afya ya mzunguko wa damu
6-Kinga ya baadhi ya saratani
7-Inasaidia kuponya jeraha kwa haraka
8- Inasaidia kupunguza uzito kwa wale wenye uzito mkubwa
9-Inasaidia kuongeza kumbukumbu
10-Inasaidia kuongeza nguvu na muamko wa kufanya mapenzi strawberry zina madini ya zink kwa wingi ambayo husaidia zaidi katika mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Hivyo, katika bustani yako unaweza kupanda miche kadhaa kwa ajili ya afya yako na familia yako pia.
Mbali na faida kwa mfumo wa uzazi, berries vitamini C huongeza nguvu wa
mfumo wa kinga na magonjwa, kuimarisha mwili.
Ni matunda muhimu sio tu kwa wanaume, bali pia kwa wanawake. Wakati wa ujauzito,

MATUMIZI:
Matunda ya strawberry yana matumizi mbalimbali kulingana na uhitaji wa mtumiaji, jamii na maeneo. Miongoni mwa matumizi hayo ni pamoja na:
@-Kuliwa kama tunda.
@-Kutia ladha katika aina mbalimbali za vyakula.
@-Kuweka rangi, harufu na nakshi katika vipodozi.
@-Kutengeneza marashi.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI