ZIFAHAMU FAIDA ZA KULA TUNDA LA FENESI

FAIDA ZA KULA FENESI.

fenesi ni tunda linalopatikana kwa urahisi kwenye nchi yetu ya Tanzania sjui kwa nchi jirani huko kenya,uganda nk..

Lakini sina uhakika  kama watu wanajua faida za kula  fenesi sasa basi kwa siku ya leo nitakuambia faida unazozipata baada ya wewe kula fenesi.

 

👉🏻Fenesi huondoa tatizo la kutopata choo

👉🏻fenesi  hukinga magonjwa ya kansa.

👉🏻fenesi husaidia sana kwa wagonjwa wa moyo na presha ya kushuka.

👉🏻fenesi huongeza hamu la tendo  kwa wanaume tumia mbegu zake

Matumizi unaweza kutwanga mbegu zake ukapata unga vijiko viwili ukachanganya na maziwa unakua unakunywa glas moja x kwa siku au  unachukua mbegu zake unaziweka jikoni kwenye jivu la moto mpaka mbegu izo ziive vizuri kisha unazitoa  maganda ya juu matumizi unakula kama karanga unaweza kula punje 15 hadi 20 au zaidi tiba hii ni mujarabu sana anza kutumia leo uheshimiwe na mkeo.

Majani ya fenesi hutibu tatizo la homa inayojirudia mara kwa mara 👉🏻matumizi unachemsha majani yake yanakaa jikoni kwa muda wa dakika 15 kisha unayatoa jikoni unaweka chini unayaacha yanapoa  matumizi glas moja x 2 kwa siku kwa muda wa siku 7

👉🏻fenesi huondoa mafuta machafu mwilini.

👉🏻mizizi yake husaidia kuondoa tatizo la kuhara kuna watu wanasumbuliwa na tatizo kuhara lisilokuwa na kikomo basi suluisho lake ndo hili hapa

    Chemsha mizizi yake tumia kunywa glasi moja hasubui na glas nyingine kunywa jioni  kuhara kutaisha.

👉🏻fenesi husaidia kuupa mwili nguvu.

👉🏻fenesi huongeza nguvu ya macho kuona vizuri.

👉🏻mizizi ya mfenesi inatibu vidonda vya tumbo 
Matumizi chemsha mizizi yake kisha kunywa gras moja hasubui na jioni kunywa glas moja kwa tiba hii mjarabu tatizo la v.vya tumbo litaisha.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI