FAHAMU UMUHIMU WA KULA ZABIBU KIAFYA.

FAIDA ZA KULA ZABIBU

1.chanzo cha vitamini C

2.huzuia tatizo la tumbo kujaa gesi.

3.huzuia matatizo ya uvimbe.

4.husafisha damu.

5.hutibu vidonda katika koo.

6.hutibu matatizo ya macho kwa wale wasio ona vizuri.

7.hutibu tatizo la homa hasa ile homa ya mafua kuna watu wakipata mafua tu na homa inapanda zabibu zinasaidia sana kuondoa tatizo la homa.

8.huzuia kutapika.

9.huzuia shinikizo la damu.

10.hupunguza kasi ya kuzeeka haraka.

11.hufanya misuri kuwa imara.

12.hutibu maumivu ya koo.

13.hutibu ugonjwa wa ini.

14. huondoa tatizo la kutopata choo nk..

MATUMIZI

unaweza kutengeneza juisi yake ukawa unakunywa glas moja x 2 kwa siku au unakula punje 20 x2 bi maana kwa siku unakula tunda 40

kwa muda wa siku 21   kitiba

Baada ya hapo pendelea kula tunda za zabibu kwa ajiri ya kujikinga na kujitibu magonjwa mbalimbali.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI