FAHAMU DAWA ASILI ZA CHANGO



>>Utamuona mwenye chango hakiwa off mood haswa nyakati za hedhi kwa sababu ya maumivu makali anayoyapata kwa muda huo......

Dalili za mara kwa mara,

>>Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
>>Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
>>Siku zake za huwa zinavurugika na hii humpa utata kuhesabu mzunguko wa hedhi kuijua siku muhimu ya kubebea mimba >>Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi
>>Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.

~Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

~Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.

~Kuchukia kushiriki tendo la ndoa

~Kupata uvimbe kwenye kizazi

~Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

Madhara ya Chango La Uzazi:
•Ni vigumu kupata mimba na kuwa tasa kabisa

•Kuingia na kutoka kwa mimba (miscarriage)

•Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni

•Kuwa na uke mdogo sana

Njia zipi za kumsaidia mtu mwenye chango...?
Kwa uzoefu na mirejesho ya wanawake ninaowashauri basi njia mojawapo kati ya hizi tatu inaweza kuwa nzuri kwako kutibu tatizo la chango:

NJIA YA KWANZA
~chukua tende na utengeneze juisi nzitonzito upate glass2 na uchanganye na habbat sawda kijiko1 kila glass kisha unywe glass1 kutwa mara mbili kwa siku 14
AU
Mbegu za tende zisagwe kwa kutumia njia yoyote ili upatikane unga, uchanganywe na maziwa kijiko kimoja kikubwa kwa glass ya maziwa kutwa mara 2

NJIA YA PILI
~Tengeneza juisi ya kitunguu maji na uichemshe ikiiva vizuri unywe kikombe kimoja kidogo cha chai kila asubuhi kwa siku7 ni tiba nzuri kwa chango la uzazi

NJIA YA TATU
~Unga wa tura ni mzuri pia kwa tiba ya chango la uzazi,utasaga upate unga na utauanika ukauke vizuri, huu inabidi uchanganywe na maziwa, kijiko kimoja kidogo cha unga wa tura kwa glass1 ya maziwa kutwa mara 2 siku angalau 14

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI