FAIDA ZA KUTUMIA BAMIA KIAFYA

FAIDA ZA KUTUMIA BAMIA. BAMIA NI TIBA NA NI KINGA YA MAGONJWA MBALIMBALI

1.BAMIA husaidia kulainisha tumbo.

2.BAMIA hutumika kutibu v.vya tumbo.

3.inaongeza nuru ya macho na kufanya macho yaone vizuri.

4.husaidia tatizo la kutopata choo.

5.huondoa vimelea vya sumu kwenye ngozi.

6.husaidia kuimarisha mishipa ya damu.

7.inasaidia kutibu magonjwa ya zinaa kama vile kisonono na kaswende.

8.inatibu tatizo la hedhi bila mpangilio na kutibu tatizo la chango la kike.

9.inasaidia kuimarisha afya ya nywele.

10.inasafisha damu na kuondoa tatizo la energy.

11.inasaidia na kupambana na tatizo la uchovu wa mwili na kuondoa tatizo la msongo wa mawazo.

12. inasaidia tatizo la sukari..

BAMIA NI KINGA YA MAGONJWA MENGI USHAURI WANGU  LEO TUJITAIDI KUTUMIA BAMIA MARA KWA MARA KWA AJIRI YA KUTIBU NA KUKINGA MAGONJWA MBALIMBALI

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI