ZIJUE FAIDA KUU 6 ZA MAFUTA YATOKANAYO NA MIMEA



Mafuta yatokanayo na mimea huwa katika hali ya kumiminika kwenye joto la kawaida, mara nyingi mafuta haya hayana lehemu, ni vizuri kutumia mafuta haya kwani ni bora kwa afya ya mlaji ukilinganisha na yale ya viwandani.

Nimekuwekea orodha ya Mafuta yatokanayo na mimea pamoja na mbegu zitoazo mafuta kama ifuatavyo:

1-Mafuta ya Soya
2-Mafuta ya Ufuta
3-Mafuta ya Alizeti
5-Mafuta ya Karanga
6-Mafuta ya Pamba
7-Korosho
8-Kwembe
9-Maboga

FAIDA ZAKE :
Hupunguza Lehemu mbaya kutokana na kutokuwa na lehemu.
Mafuta haya yana Omega3 ambayo ni muhimu kwa kuondoa Lehemu mbaya mwilini na kulinda mwili usipate na magonjwa ya moyo.
Mafuta haya yana 3 Pufa (n-3 Pufa)(Poly unsaturated fat) haya ni aina ya mafuta yanayotokana na Mchele, Soya, Ufuta na Pamba.
Huleta afya nzuri na kulinda mwili usipate na magonjwa kama vile Kisukari, Kansa, Magonjwa ya moyo, Upungufu wa nguvu za kiume na kike.
Mafuta haya ni rahisi kuyeyuka na kuleta ladha nzuri katika chakula.
Vyakula vilivyo na mafuta yenye asili ya mimea ni pamoja na Mafuta ya Karanga, Alizeti, mafuta ya Zaitun(Oliver Oil), Pamba, Korosho, Pistachio, Dona, Maharage ya Soya na mchele wa kutwanga.

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI