Posts

JINSI YA KUONDOA CHUNUSI USONI

Image
 🍅UREMBO ASILI🍅 SEHEMU YA KWANZA,  🍎JINSI YA KUTOA CHUNUSI SUGU USONI NA MIKUNJO YA NGOZI. MAKOVU NA  KUONDOA TATIZO LA NGOZI KUWA KAVU VILEVILE MCHANGANYIKO HUU UNAFAA KWA WALE WENYE MAFUTA USONI🍅 KARIBU NIKUJUZE HUSIYOYAJUA NA KAMA UNAYAJUA BASI NAKUONGEZA UJUZI.. KAMA UNAVYOONA KWENYE PICHA HAPO👇🏻 KUNA LIMAU 🍋 KUNA YAI 🥚 NA ASALI MBICHI YA NYUKI🐝 BILA SHAKA VITU VYOTE IVI VINAPATIKANA KWA URAHISI SANA VILE VILE  HAVICHUKUI MUDA MREFU SAANA 👇🏻 KUVIANDAA👇🏻 TUPATE CHOMBO KISAFI YAWEZA KUWA BAKURI AU KIFAA CHOCHOTE CHUKUA YAI LA KUKU KAMA UTAPATA YAI LA KIENYEJI ITAPENDEZA ZAIDI  LIVUNJE KATI TUNACHOHITAJI.KWENYE YAI NI ULE UTE MWEUPE KAMA MAJI SIO KIINI CHA NJANO👇🏻   BAADA YA HAPO CHUKUA LIMAO KAMLIA MAJI YA LIMAO  KIDOGO SAANA KWA SABABU LIMAO NI NZURI KWA NGOZI LAKINI UKIWEKA NYINGI ITAKUWASHA USONI WEKA KIDOGO TU👇🏻 Chukua na asali kijiko kimoja weka kwenye mchanganyiko wako wa yai na lamao  baada kuweka asali tumia kijiko kucha...

DAWA YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO HATA KAMA VIDONDA NI SUGU

Image
  MAHITAJI HABATI SODA YA UNGA VIJIKO 4 KOMA MANGA YA UNGA VIJIKO 4 MDALASINI WA INDIA WA UNGA VIJIKO 4 ASALI MBICHI NUSU LITA CHUKUA DAWA HIZO ZOTE  ZICHANGANYE SEHEMU MOJA BAADA YA KUZICHANGANYA SEHEMU MOJA CHANGANYA NA ASALI MBICHI NUSU LITA  HAKIKISHA UMECHANGANYA VIZURI DAWA YAKO  BAADA YA HAPO ANZA MATUMIZI YA DAWA KUNYWA VIJIKO 2 X 2 KWA SIKU  KWA MAANA HIYO UNAKUNYWA HASUBUI VIJIKO VIWILI NA JIONI VIJIKO VIWILI KWA MUDA WA SIKU 10 Dawa hii ndo mwisho wa tatizo la vidonda vya tumbo  KWA IDHINI YA ALLAH UTAPONA BAADA YA KUPONA MSHUKURU ALLAH S.W SIO DR.ABDALLAH MIMI NIMEKUFUNDISHA HASIBAB TU TABIBU NI ALLAH.

TIBA YA KUKOJOA KITANDANI KWA MTU MZIMA NA WATOTO

Image
 JE,TATIZO LA MTU MZIMA KUKOJOA KITANDANI(ADULTS NOCTURNAL ENURESIS) NI NINI? Hili ni tatizo linaowasumbua watu wengi walio katika umri ambao tayari wana uwezo wa kuzuia mkojo,tatizo hili hutokea kwa mtu huyo ambaye tayari yupo katika umri wa kuweza kujizuia mkojo ila anakua bado anaendelea kukojoa kitandani au kwenye nguo. Hivyo tunaweza kusema hili ni  tatizo la kushindwa kuzuia mkojo wakati wa mchana au usiku na linalotokea katika umri wa miaka mitano au zaidi. Mkojo unapo hifadhiwa katika kibofu cha mkojo, kibofu kinatanuka kama puto. Katika sehemu za neva za kutanua kuta za kibofu cha mkojo zinapeleka ishara ya kuzuia mkojo katika akili. Hii hutokea katika sehemu ya ubongo inayohusika na matendo yasiyo ya hiari. Kama ubongo wa mtoto haujapata ishara hii, au ukishindwa kujua maana ya hiyo ishara, hatua ya makusudi ya kuzuia mkojo haitafanyika hivyo mtu hushindwa kupata uwezo wa kuxuik mkojo. Hali hii mara nyingi husababishwa na kuchelewa kwa ukuaji wa kibiologia wa utendaj...

FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE

Image
  FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE _huondoa vipele kwenye ngozi. _hutibu homa za mara KWA mara. _huondoa malaria sugu. _huondoa vitambi kwa akina mama. Na akina baba. _hupunguza mtu kuwa na hasira. _hulainisha ngozi. _kukuza nywele na kuzifanya ziwe nyeusi. _huondoa uchovu. _hutibu fangasi. _huondoa mabaka na michubuko. _huondoa ukurutu. _huondoa harufu mbaya sehemu za siri. _hutibu tatizo la mchafuko wa damu (allergy).. _huongeza CD4 mwilini. Ambazo zikipungua ni rahisi sana kupata virusi vya VVU  kwaiyo ni vizuri mtu akanywa mafuta ya MLONGE au kutafuna mbegu  zake. _kutibu kisukari. _hutibu kuhara damu. _huondoa uvimbe tumboni  _huongeza kasi ya utokaji mkojo kwa wale wenye matatizo ya mkojo  unaotoka kidogo kidogo. _ _hutibu presha ya kupanda na kushuka. _hutibu pumu. _hutibu maradhi yote ya MOYO. _ huondoa tatizo la ugumba.(kutoshika mimba) _huondoa uvimbe kwenye mfuko wa uzazi. _huongeza nguvu kiume na kike. _huondoa mawe kwenye kibofu cha mkojo. _hutibu fangasi ...

TIBA YA SARATANI KWA KUTUMIA STAFELI

Image
 Allah s.w hakika ameweka ponyo kwenye mti huu wa mstafeli mti huu unazungumziwa sana nchini kwa sababu umewasaidia watu wengi katika kuwatibu magonjwa sugu hasa ugonjwa huu unaowasumbua watu saratani ya #tezi dume na saratani nyingine nyingi.  Saratani aina zote zinatibika kwa kutumia mstafeli. Kama vile_ Saratani ya mapafu. Saratani ya mdomo. Saratani ya kwenye ulimi. Saratani ya shingo ya kizazi. Saratani ya ini.. Saratani ya mji wa uzazi. Saratani ya matiti . Saratani ya kongosho. Na nyingine nyingi. Majani ya mstafeli yanatibu. Maumivu ya mgongo. Kisukari. Yanaongeza kinga ya mwili. Yanaimarisha afya ya mfumo wa upumuaji. Mazuri kwa afya ya moyo. Maumivu ya nyonga. Yanaongeza cd4 mwilini nk.. Matumizi unaweza kutengeza juice yake kwa kutumia matunda yake ukawa unakunywa glas moja x 2 kwa siku. Kwa muda wa siku 21  au ukachemsha majani yake  ukawa unakunjwa kikombe kimoja x2 kwa siku kwa muda wa siku 21 Kama hauwezi hayo yote basi chukua majani ya mstafeli yapond...

MAUMIVU YA KICHWA NA TIBA YAKE

Image
 MAUMIVU YA KICHWA NA TIBA YAKE   Ukihisi Maumivu Ya Kichwa Unafaa Kufanya Nini? 1• achana na mawazo 2 • epuka vilevi vyote 3• oga/ koga maji ya moto 4• kula vyakula vya asili 5• kuwa mtulivu 6• pata kupumzika 7• kunywa maji ya kutosha kila siku 8• epuka vyakula kama siagi ya karanga, chokoleti, chai ya rangi, kahawa na soda 9• tumia zaidi vyakula vyenye Vitamini C, Vitamini B2 na madini ya magnesium 10• fanya masaji ya kichwa, ya shingo na ya mgongo Vilevile unaweza pia kutumia vitu vinavyopatikana nyumbani Kumbuka maumivu yakizidi muone daktari kwa uchunguzi zaidi. @-SHURUBATI YA MNANAA  Dawa nyingine ya asili ya kutibu maumivu ya kichwa ni juisi ya mnanaa kwa kuwa mnanaa una vitu vya kutoa maumivu ya kichwa vijulikanavyo kama ‘menthol’ na ‘menthone’. Pia unaweza kutumia mvuke uliotokana na chai ya majani ya mnanaa ujifunikie sehemu ya mbele ya kichwa chako. @-TANGAWIZI  Inachofanya tangawizi ni kupunguza maambukizi kwenye mishipa yako ya damu. Kuna namna mbil...

TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU

Image
 TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU karafuu ni miongoni mwa kiungo cha chakula na dawa mbali mbali karafuu inajulikana ulimwenguni kwa tiba  magonjwa mbali mbali. Magonjwa hayo ni kutoa gesi tumboni, tatizo la mmeng'enyo.kutapika, na matatizo katika meno. JITIBU KWA KUTUMIA KARAFUU Matatizo katika misuri #ganzi ya mikono na miguu. #kiharusi  #maumivu ya viungo. #uvimbe. Tumia mafuta ya karafuu kwa kuchulia sehemu yenye matatizo. . #KUHARISHA Chukua karafuu weka kwenye maji chemsha kunywa kuharisha kutaisha  #KICHEFUCHEFU tafuna punje za karafuu  tatu kichefuchefu kitaisha. #MATATIZO #YA #MENO Sukutua maji ya uvugu  vugu yalichemshwa na karafuu. #MAUMIVU YA KICHWA.(kipanda USO) Chukua mafuta ya karafuu changanya na chumvi ya mawe kidogo kisha pakaa kichwan sehemu inayouma. Maumivu yata kata. #JINO LILILOTOBOKA:    chukua pamba weka ktk mafuta ya karafuu kisha weka kwenye jino lililotoboka ukiweka iyo pamba sikilizia kama dakika 30 ndo uitoe Fanya ivyo kwa wi...

adthis