Posts

Showing posts from July, 2022

UMUHIMU WA TUNDA LA NANASI KATIKA TIBA

Image
 UMUHIMU WA TUNDA LA NANASI KATIKA TIBA Nanasi lina vitamin A,B,na C pia lina madini chuma na phosphorus. Tunda hili husaidia kutengeneza damu na kuimarisha mifupa,meno, na misuli (muscles)  MATIBABU KWA KUTUMIA NANASI  Hutibu MATATIZO mbali mbali ya tumbo. Bandama,figo,INI na utumbo mwembamba, vidonda pembezoni mwa mdomo na kooni. . Pia husaidia magonjwa ya kupoteza kumbu kumbu (kusahau). Huondoa MATATIZO ya kufunga choo. Pia huwasaidia akina mama wanyonyeshao wenye maziwa machache NA hata wale wenye mimba wanashauriwa sana kutumia mananasi kwa wingi angalau kwa siku  ,japo mawili mazima NANASI LINA faida nyingi lakini nimegusia kidogo tu Allah akituwezesha siku nyingine nitawaelezea zaidi inshaallah Karibuni sana tujifunze Linda afya yako kwa kutumia TIBA asili madawa ya asili hayana kemikali zozote pia hayana madhala unaweza kutumia hata kama hau umwi, KINGA NI BORA KULIKO TIBA

MADHARA YA KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA

Image
 MADHARA YA KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA NA ONGEZEKO LA VIFO VINAVYOTOKANA NA CHANGAMOTO HIZO.  Zamani ilikuwa ukiwa na kitambi au mnene unaonekana tajiri wa pesa,  lakini siku hizi ukiwa na kitambi unaonekana kuwa tajiri wa Magonjwa anayeiandaa safari ya kwenda kujenga urafiki na hospitali kubwa kubwa kwa kutumia gharama kubwa mno ambazo zitamtia umaskini wa kudumu. Matatizo ya Cholesterol, presha BP,  kisukari,  vidonda vya tumbo, ini, figo, kansa, matatizo ya uzazi,  upungufu nguvu za Kiume na stroke hapo kwenye watu wenye uzito mkubwa na vitambi ni mahali pake. Magonjwa mengi yanayoshambulia waafrika yanatokana na lifestyle mbaya ya ulaji wa vyakula tunavyotumia. wengi wanafikiri kufanya mazoezi na kushinda njaa kutawafanya wapungue kumbe sio kweli. Hauwezi kupungua kama haujaziondoa kemikalli mwilini ambazo  zinaulazimisha mwili wako kuhifadhi mafuta. Wanawake wengi nao sku  hizi wanavitambi ambavyo vinaleta shepu mbaya na kupoteza mvuto wote hata kama wakivaa nguo mpya bado  wan

JINI MAHABA

Image
 BAADHI YA DALILI ZA JINI MAHABA..1 1.Kuwa na dalili zote za mimba,lakini ukipima hakuna mimba 2.Kitu kucheza tumboni kama mtoto.. 3.kuchukiwa  watu bila sababu yoyote,na kila ufanyalo wanaona ni baya tu.. 4.Kujiona Bora Sana kuliko mtu yeyote 5.Kupenda kujitenga na watu 6.kuwa na hofu kupita kiasi.. 7.Kutokewa na jini live kupitia umbo la Binadamu na kufanya nae sex(Unakuta huyo jamaa huwa mchovu Sana kwenye sex lakini akiingiwa na jini anakupiga bao tamu Kama la kwenye ndoto mpaka unajiskia Raha isiyo na mfano/Au unapiga bao tamu.... 8.Ahadi za ndoa kutotimia..wewe ni wa Kuabudiwa,nitakuoa/tutaonana 9.Kukataa kila mwanaume/Mwanamke anayetaka/kuonesha Nia ya kukuoa/kumuoa 9.Kujiona mdogo hujafikia umri wa kuolewa/kuoa wakati unamiaka 150 10.Kutamani kuolewa /Kuoa baada ya Muda wa kuoa/Kuolewa kupita. 11.Ukilazimisha kuoa/Kuolewa ndoa inakuwa ngumu, ridhiki ngumu 12.Kukimbiwa na wachumba.. 13.Mipango ya Ndoa kutofanikiwa kabisa. 14.Ugomvii ,migogoro na mme..Cha ajabu akiwa mbali unammi

FAIDA 15 ZA LIMAU KIAFYA

Image
  FAIDA 15 ZA LIMAU KIAFYA Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi, kutibu malengelenge, uzito kupita kiasi, matatizo katika mfumo wa upumuwaji, kipindupindu na shinikizo la juu la damu. Pia ni dawa nzuri kwa ajili ya nywele na ngozi. Tangu karne nyingi limau linajulikana kama dawa, husaidia pia kuongeza kinga ya mwili, kusafisha tumbo na hujulikana pia kwa kazi yake nzuri ya kusafisha damu. Juisi ya limau ina faida kadhaa nyingi kama vile kuondoa mchanga katika figo, kupunguza kukamaa kwa mishipa (strokes) na kupunguza joto la mwili. Kama kinywaji ambacho huondoa uchovu mwilini, juisi ya limau itakusaidia kubaki mtulivu na mpole. Faida nyingi za limau zinatokana na virutubishi vyake vingi mhimu kwa mwili kama vile vitamini C, vitamini B6, vitamini A, vitamini E, folate, niacin thiamin, riboflavin, pantothenic acid, shaba, kalsiamu, ch

TATIZO LA MIGUU KUVIMBA NA KUWAKA MOTO

Image
  Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto Na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono.  Tatizo hilo kitaalamu hujulikana kama Peripheral Neuropathy.  Matatizo haya kiafya miguu au mikono kuhisi ganzi,baridi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguu au mikono) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguu au mikono.  Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo:-  01. Mtu kuhisi ganzi  02. Kushindwa kushuka au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli, n.k  03. Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguu/mikono.  Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi ni vizuri nazo ukajua.  1. Kupungua kwa virutubisho miwilini, hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex)  2. Matumiz ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu, au dawa za kupambana na virusi vya uk

TATIZO LA MIGUU AU MIKONO KUUMA/KUFA GANZI

Image
Matatizo ya miguu/mikono kuhisi ganzi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa Neva za pembezoni mwa mwili (peripheral neuropathy), hivyo kusababisha kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika eneo husika (miguuni au mikononi). DALILI ZA TATIZO >>Mtu kuhisi miguu/mikono kufa ganzi >>Maumivu au kuhisi kama vile moto unawaka miguuni au mikononi >>Kuhisi kama vile umevaa soksi au gloves wakati hujavaa >>Kuhisi kama vile kuna kitu chenye ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole HIZI NDIZO SABABU ZA KUDHOOFIKA KWA NEVA HIZO >>Kupungua kwa virutubisho mwilini. Hapa tunamaanisha mwili kutokuwa na Vitamin za kutosha hasa mkusanyiko wa Vitamini B Complex >>Matumizi ya dawa fulani kwa muda mrefu mfano TB na ARV >>Uzito mkubwa wa mwili. Hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo huonekana tofauti na ilivyo kawaida. Kubadilika huku husababisha baadhi ya Neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na mis

SIMAMISHA MATITI YALIYOLALA KWA NJIA YA ASILI

Image
 🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢 SIMAMISHA MATITI YALIYOLALA KWA NJIA YA ASILI maziwa Wadada na Wanamama wengi wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu kutafuta ufumbuzi wa kusimamisha matiti yaliyolala pasipokujua kwamba zipo njia salama za asili za kutatua changamoto hiyo. Kwa uchunguzi mdogo uliofanywa na dr.khalifa nimegundua kwamba idadi kubwa ya Wanawake hupata changamoto ya matiti kulala baada ya kujifungua na kupitia hatua ya kunyonyesha. Pia zipo sababu nyingine mbali na hiyo tuliyotaja ambayo huweza kupelekea Matiti ya Mwanamke kulala. Dr  ♩nimeweza  kutuelezea sababu kuu zinazopelekea matiti ya mwanamke kulala na njia za kusimamisha matiti. SABABU ZA MATITI KULALA Afya kuwa mbovu Kuzaa au kupata Mimba Kurithi NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI Kwa kutumia yai, Vitamin E na Mtindi MAHITAJI Yai bichi moja au mawili Mtindi robo lita Vitamin E : Mafuta ya Alizeti robo lita MAANDALIZI Chukua ute wa yai moja bichi kisha changanya na robo lita ya mafuta ya alizeti, Koroga vizuri huo mchanganyiko kw

TIBA YA KIFAFA KWA KUTUMIA MLONGE

Image
 KIFAFA CHA KAWAIDA. Kuna aina nyingi sana za kifafa..lakini zinazotambulika ni 3 achanana kifafa cha mimba bana... 1.Kifafa cha kawaida kilicho sababishwa na kukomaa kwa degedege...hiki ndio nitatoa dawa yake. 2.Kifafa kinachosababishwa na jini 3.Kifafa kinachosababishwa na uchawi/Wachawi. Kifafa namba 2 na 3 unazunguka kwa waganga bila kupona,unazunguka na dawa bila kupona...cha ajabu sasa,dawa yake ni rahisi sana ila ghalama kidogo tu... Kifafa cha kawaida. Chukua magome ya mti wa mlonge Saga kupata unga wake Tumia kijiko 1kikubwa  kwa mkubwa Kijko 1kodogo kwa mtoto kwenye uji kikombe 1 kutwa mara 3 siku 7. Mlonge huo pichani.. Kifafa ni ugonjwa unaomwangusha mtu na kimtoa povu.. Kifafa hakichagui mahali pa kumwangusha mtu,popote na muda wowote.. Ni ugonjwa unaotesa sana Ni ugonjwa unamfanya mgonjwa aijihisi mnyonge Ni ungonjwa unaomfanya mgonjwa ajihis aibu. Hajiamini kabisa... Mungu yupo.. Ewe mchawi,unapata faida gani kumloga mwenzako?  Tubadilike..

adthis