Posts

FAIDA ZA TUNDA LA KARAKARA (PASSION)

Image
FAHAMU FAIDA ZA TUNDA LA KARAKARA (PASSION)     Pia tunda la karakara si zuri kwa Wajawazito na Watoto      KARAKARA (Passion) ni tunda linaloota katikq mmea unaosambaa ambao wakati mwingine huwekewa mti ili usambae vizuri na kutoa matunda mengi.       Asili ya tunda hili ni Amerika ya kusini ambapo inaaminika kuwa kwa Mara ya kwanza mmea wake ulipandwa nchini Hawaii, mwaka 1880.     Kwa hapa Tanzania Mmea wa Karakara (Passion) hupandwa sana maeneo ya Morogoro, Kigoma, Dar es salaam, Tanga, Arusha, Pwani na Visiwani Zanzibar.         Tunda hili linavirutubisho mbalimbali katika mwili wa binadamu. Virutubisho hivyo ni pamoja na Vitamin A, C, B2, B6 na E, Flavonoids, pamoja na madini ya chuma.       FAIDA ZA TUNDA LA KARAKARA (PASSION) __ Hupunguza maumivu ya mishipa ya fahamu na tumbo la hedhi kwa akina mama. __ Hutibu matatizo ya wasiwasi, msongo wa mawazo na hali ya kuzubaa kwa wazee na watoto. __ Hubo...

FAHAMU TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU

Image
TIBA KWA KUTUMIA KARAFUU karafuu ni miongoni mwa kiungo cha chakula na dawa mbali mbali karafuu inajulikana ulimwenguni kwa tiba  magonjwa mbali mbali. Magonjwa hayo ni kutoa gesi tumboni, tatizo la mmeng'enyo.kutapika, na matatizo katika meno. JITIBU KWA KUTUMIA KARAFUU Matatizo katika misuri #ganzi ya mikono na miguu. #kiharusi #maumivu ya viungo. #uvimbe. Tumia mafuta ya karafuu kwa kuchulia sehemu yenye matatizo. . 1.KUHARISHA Chukua karafuu weka kwenye maji chemsha kunywa kuharisha kutaisha 2.KICHEFUCHEFU tafuna punje za karafuu  tatu kichefuchefu kitaisha. 3.MATATIZO YA MENO Sukutua maji ya uvugu  vugu yalichemshwa na karafuu. 4.MAUMIVU YA KICHWA.(kipanda USO) Chukua mafuta ya karafuu changanya na chumvi ya mawe kidogo kisha pakaa kichwan sehemu inayouma. Maumivu yata kata. 5.JINO LILILOTOBOKA:    chukua pamba weka ktk mafuta ya karafuu kisha weka kwenye jino lililotoboka ukiweka iyo pamba sikilizia kama dakika 30 ndo ui...

MWANAUME WAJUE MAADUI 20 WA UUME WAKO

Image
MAADUI 20 WA UUME WAKO 1.MAGONJWA Magonjwa ni adui namba 1 wa uume wako. Magonjwa ya sehemu za siri, magonjwa ya mwili kwa ujumla, na magonjwa ya wanaume kama - tezi dume ni adui wa uume wako. Ugonjwa kama kisukari na presha, figo na ini kutokufanya kazi vizuri LAZIMA uume uwe dhaifu. Kuna magonjwa mengine pia kama viupele vya ajabu ajabu huko kwa babu pamoja na ugonjwa wa bawasiri. MAGONJWA HAYA LAZIMA YATIBIWE HARAKA. 2. ULEVI NA SIGARA Ulevi haufai kabisa kwa afya ya uume wako. Ulevi unakufanya uwe mlaji wa nyama hasa nyekundu, unakuwa sio mwepesi wa kunywa maziwa na kula matunda, unakuwa mzembe wa majukumu yako ya ndani, unapata vitambi, unaharibu balansi ya homoni.  unaelekea upotevuni. Kunywa maji ya kutosha, maji fresh ili kuuburudisha mwili na kuondoa msongo wa mawazo. 3. PUNYETO NA MICHEPUKO Watu walionishuhudia ambao walifungwa katika minyororo ya kufanya punyeto hadi mara 6 kwa siku, waliokuwa wanafanya hadi vyoo vya ofisini na wengine kujificha hata ma...

FAIDA ZA KUTUMIA BAMIA KIAFYA

Image
FAIDA ZA KUTUMIA BAMIA. BAMIA NI TIBA NA NI KINGA YA MAGONJWA MBALIMBALI 1.BAMIA husaidia kulainisha tumbo. 2.BAMIA hutumika kutibu v.vya tumbo. 3.inaongeza nuru ya macho na kufanya macho yaone vizuri. 4.husaidia tatizo la kutopata choo. 5.huondoa vimelea vya sumu kwenye ngozi. 6.husaidia kuimarisha mishipa ya damu. 7.inasaidia kutibu magonjwa ya zinaa kama vile kisonono na kaswende. 8.inatibu tatizo la hedhi bila mpangilio na kutibu tatizo la chango la kike. 9.inasaidia kuimarisha afya ya nywele. 10.inasafisha damu na kuondoa tatizo la energy. 11.inasaidia na kupambana na tatizo la uchovu wa mwili na kuondoa tatizo la msongo wa mawazo. 12. inasaidia tatizo la sukari.. BAMIA NI KINGA YA MAGONJWA MENGI USHAURI WANGU  LEO TUJITAIDI KUTUMIA BAMIA MARA KWA MARA KWA AJIRI YA KUTIBU NA KUKINGA MAGONJWA MBALIMBALI

ZIJUE FAIDA 17 ZA MBEGU ZA MABOGA MWILINI

Image
FAIDA  ZA MBEGU ZA MABOGA MWILINI Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya muhimu zaidi mwilini kama vile madini ya Zinki, Copper, Magnesium, Manganese, na chuma. Mbegu za maboga ni tamu na unaweza kuzitafuna tu kama karanga. Kama ulikuwa hujui basi zifuatazo ni faida za mbegu za maboga. 1. UGONJWA WA MOYO. Kutokana na wingi madini ya magnesium katika mbegu za maboga huwasaidia watu wenye magonjwa mbalimabli ya moyo. Madini ya magnesium ni muhimu kwa ajili ya kuimarisha msukumo wa damu kwenye moyo na kuimarisha afya ya mishipa ya damu hivyo kutibu na kuzuia magonjwa ya moyo. Mbegu hizi pia zina mafuta aina ya OMEGA 3 ambayo ni muhimu kwa watu wenye ugonjwa wa moyo. 2. HUIMARISHA KINGA YA MWILI. Mbegu za maboga zina kiasi kikubwa cha madini ya zinki (zinc). Kazi kubwa ya madini ya zinki ni kuimarisha kinga ya mwili. Upungufu wa madini ya zinki mwilini unaweza kupelekea matatizo kadhaa mwilini ikiwemo kuzaa watoto njiti, kuishiwa nguvu za kiume, matati...

ZIFAHAMU FAIDA ZA KULA TUNDA LA FENESI

Image
FAIDA ZA KULA FENESI. fenesi ni tunda linalopatikana kwa urahisi kwenye nchi yetu ya Tanzania sjui kwa nchi jirani huko kenya,uganda nk.. Lakini sina uhakika  kama watu wanajua faida za kula  fenesi sasa basi kwa siku ya leo nitakuambia faida unazozipata baada ya wewe kula fenesi.   👉🏻Fenesi huondoa tatizo la kutopata choo 👉🏻fenesi  hukinga magonjwa ya kansa. 👉🏻fenesi husaidia sana kwa wagonjwa wa moyo na presha ya kushuka. 👉🏻fenesi huongeza hamu la tendo  kwa wanaume tumia mbegu zake Matumizi unaweza kutwanga mbegu zake ukapata unga vijiko viwili ukachanganya na maziwa unakua unakunywa glas moja x kwa siku au  unachukua mbegu zake unaziweka jikoni kwenye jivu la moto mpaka mbegu izo ziive vizuri kisha unazitoa  maganda ya juu matumizi unakula kama karanga unaweza kula punje 15 hadi 20 au zaidi tiba hii ni mujarabu sana anza kutumia leo uheshimiwe na mkeo. Majani ya fenesi hutibu tatizo la homa inayojirudia mara kwa mara 👉?...

FAHAMU UMUHIMU WA KULA ZABIBU KIAFYA.

Image
FAIDA ZA KULA ZABIBU 1.chanzo cha vitamini C 2.huzuia tatizo la tumbo kujaa gesi. 3.huzuia matatizo ya uvimbe. 4.husafisha damu. 5.hutibu vidonda katika koo. 6.hutibu matatizo ya macho kwa wale wasio ona vizuri. 7.hutibu tatizo la homa hasa ile homa ya mafua kuna watu wakipata mafua tu na homa inapanda zabibu zinasaidia sana kuondoa tatizo la homa. 8.huzuia kutapika. 9.huzuia shinikizo la damu. 10.hupunguza kasi ya kuzeeka haraka. 11.hufanya misuri kuwa imara. 12.hutibu maumivu ya koo. 13.hutibu ugonjwa wa ini. 14. huondoa tatizo la kutopata choo nk.. MATUMIZI unaweza kutengeneza juisi yake ukawa unakunywa glas moja x 2 kwa siku au unakula punje 20 x2 bi maana kwa siku unakula tunda 40 kwa muda wa siku 21   kitiba Baada ya hapo pendelea kula tunda za zabibu kwa ajiri ya kujikinga na kujitibu magonjwa mbalimbali.

adthis