FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA
PILIPILI MANGA / BLACK PEPPER: Kiungo hiki kizuri kwa mwanamke ambaye amejifungua au mimba imeharibika na yupo kwenye utaratibu wa kuondoa uchafu usibakie kwenye kizazi. Tumia Uji uliotiwa Pilipili manga sio chini ya siku 21....... KWA FAIDA YA WOTE: Pilipili manga mara nyingi hutumika kama kiungo kwa ajili ya kuongeza ladha kwenye chakula. Lakini kiungo hicho kina faida kadhaa kiafya mwilini ambazo unapotumia unapaswa kuzijua faida zake kwa sababu ina wingi wa madini ya Manganizi, Shaba, Magnesiamu, Kalsiamu, Fosforasi, Chuma na Potasiamu. Vitamini: Pilipili manga ina wingi wa Vitamini B2, Vitamini B6, Vitamini C na Vitamini K. Vilevile pilipili manga ina winga wa Nyuzi lishe, Protini na wanga. ~Uwepo wa virutubisho hivi ni muhimu kwa ajili ya mmeng'enyo wa chakula kwa wenye matatizo ya choo na tumbo kujaa gesi ~Kupunguza uzito. Magamba ya nje ya pilipili manga yanasaidia sana katika kuvunjavunja seli za mafuta mwilini. Seli hizo huvunjwavunjwa na kutumika kati...
Comments
Post a Comment