KITUNGUU MAJI KINAVYOTIBU MAGONJWA MBALIMBALI

KITUNGUU MAJI KINAVYOTIBU MAGONJWA MBALIMBALI

Kitunguu maji ni aina ya mboga za majani (vegetable)

Viini lishe vilivyomo katika kitunguu maji
Vitamini C
Penisilini (penicillin)

Antiseptic
Madini yaliyomo katika kitunguu maji .

Salfa,CHUMA,phosphorasi

MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA KITUNGUU MAJI.

magonjwa ya ngozi, (fangasi,upele,ukurutu,mba ,mapunye)

Tengeneza juisi ya kitunguu maji kisha paka sehemu yenye matatizo kutwa mala mbili kwa muda wa siku tano utapata majibu mazuri hakika tiba hii ni nzuri sana.

Maralia,,,,,,,kula KITUNGUU maji na pili mtama utapona inshaallah

KUJITIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA KIKE

chukua kitunguu maji kata kata vipande vidogo vidogo  changanya na asali kula mchanganyiko huo hasubui na jion  ndani ya siku Kumi utapata majibu mazuri hakika utakua na nguvu nyingi zaidi.

PUMU

chukua kitunguu maji kisage kwenye Brenda kisha changanya na asali

Matumizi kula vijiko viwili hasubui na jion kwa muda wa siku tano utapata majibu.

SARATANI.
 AINA ZOTE.

Kausha vitunguu maji juani kisha visage changanya na juice ya karoti kunywa kila siku hasubui kabla hujala kitu Fanya zoezi ilo kwa muda wa mwezi mumoja utapona inshaallah.

Baridi yabisi

Kiweke kitunguu maji katika moto kisha kanda katika eneo lenye ugonjwa siku tatu   Tu utapona tatizo hilo linalo kusumbua.

Chunusi.
              Chukua kitunguu maji kisage kisha changanya na unga wa ngano kidogo kisha paka usoni usiku wakati wa kulala hasubui ukiamka OSHA USO wako kwa kutumia maji ya uvugu vugu

#KISUKARI

kula kila siku vitunguu viwili sukari itashuka au ukaimaliza kabisa hakika tiba hii ni nzuri.kwa ugonjwa wa kisukari.

Kupunguza unene

Kula KITUNGUU maji na ASALI kila hasubui hakika uzito wako utapungua.

KITUNGUU MAJI KINA FAIDA NYINGI SASA BASI KUANZIA LEO WEKA AZIMIO LISILO LA LAZIMA NDANI YA WIKI MOJA UWE UNATAFUNA ANGALAU Vitungu swaumu vizima vitano
Hakika utaona mabadiliko ya afya yako

Comments

adthis

Popular posts from this blog

FAIDA ZA PILIPILI MANGA KIAFYA

FAHAMU FAIDA 10 ZA NAZI KAMA TIBA YA MWILI

ZIJUE FAIDA KUMI (10) ZA STRAWBERRY MWILINI