Posts

Showing posts from February, 2023

UJUE UGONJWA WA FIGO(KIDNEY FAILURE)

Image
  Figo ni moja ya kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu na hufanya kazi za kudhibiti na kuhifadhi virutubishi na maji na kuondoa mabaki kupitia mkojo* *Pia figo husaidia sana kuchuja damu ili kuondoa mabaki ambayo ni sumu mwilini. Baadhi ya mabaki hayo ni urea, uric acid, creatinine na ammonia* *Sababu zinazoweza kufanya figo zishindwe kufanya kazi* *Sababu za muda mfupi*; *1️⃣Matumizi ya baadhi ya dawa za kupunguza maumivu* *2️⃣Upungufu mkubwa wa ujazo wa damu (kupoteza damu kwa kiasi kikubwa)* *3️⃣Upungufu wa maji mwilini kutokana na kutapika, kuhara, na homa* *4️⃣Maambukizi kwenye figo mfano sepsis* *5️⃣Uvimbe mkubwa wa tezi dume (prostatic hypertrophy)* *Sababu za Muda Mrefu* *1️⃣Maambukizi katika njia ya mkojo ya mda mrefu(UTI SUGU)* *2️⃣Kisukari kisichodhibitiwa* *3️⃣Shinikizo kubwa la damu lisilodhibitiwa* *4️⃣Uvimbe-uchungu wa kudumu kwenye mfumo wa uchujaji wa figo(chronic glomerulonephritis)* *5️⃣Mawe kwenye figo* 6️⃣Magonjwa ya tezi dDAMU (Prostate disease) *CHANGAMOTO

adthis