Posts

Showing posts from February, 2021

FAIDA ZA TUNDA LA KARAKARA (PASSION)

Image
FAHAMU FAIDA ZA TUNDA LA KARAKARA (PASSION)     Pia tunda la karakara si zuri kwa Wajawazito na Watoto      KARAKARA (Passion) ni tunda linaloota katikq mmea unaosambaa ambao wakati mwingine huwekewa mti ili usambae vizuri na kutoa matunda mengi.       Asili ya tunda hili ni Amerika ya kusini ambapo inaaminika kuwa kwa Mara ya kwanza mmea wake ulipandwa nchini Hawaii, mwaka 1880.     Kwa hapa Tanzania Mmea wa Karakara (Passion) hupandwa sana maeneo ya Morogoro, Kigoma, Dar es salaam, Tanga, Arusha, Pwani na Visiwani Zanzibar.         Tunda hili linavirutubisho mbalimbali katika mwili wa binadamu. Virutubisho hivyo ni pamoja na Vitamin A, C, B2, B6 na E, Flavonoids, pamoja na madini ya chuma.       FAIDA ZA TUNDA LA KARAKARA (PASSION) __ Hupunguza maumivu ya mishipa ya fahamu na tumbo la hedhi kwa akina mama. __ Hutibu matatizo ya wasiwasi, msongo wa mawazo na hali ya kuzubaa kwa wazee na watoto. __ Hubo...

adthis