FAHAMU JINSI YA KUTIBU MAUMIVU YA SIKIO KWA KUTUMIA KITUNGUU SAUMU
JIFUNZE JINSI YA KUTIBU MAUMIVU YA SIKIO KWA KUTUMIA KITUNGUU SAUMU Tatizo la kuumwa sikio linajitokeza mara kwa mara katika jamii zetu, ni tatizo lakawaida lakini huwa hatari zaidi hasa pale tiba inapopuuzwa au kucheleweshwa SABABU ZAKE Miongoni mwa sababu za kupata maumivu makali ya sikio ni:- 1. Maambukizi yatokanayo na bakteria, fangas, virus n.k 2. Kubadilika kwa mkandamizo wa presha(pressure changes) kwenye masikio mfano wakati wa kuogelea na shughuli zingine 3. Maji kuingia masikioni 4. Hali ya hewa iliyoptiliza 5. Kuchokonoa masikio TIBA Menya kitunguu saumu kisha kamua juice yake, ipashe moto kiasi kisha itumike ikiwa bado ya vuguvugu. Usichanganye na maji DOZI Dondoshea matone 2 - 3 ya mafuta hayo(juice) katika sikio lenye tatizo kisha weka pamba ama kitambaa safi kwa muda wa dakika 30 kufanya dawa iendelee kuwepo sikioni.... Fa...